Rais Kikwete atembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) mjini Dallas,Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete walitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) na kujionea nafasi kubwa iliyotolewa kwa Tanzania na zawadi ambazo Rais Bush alizipata katika ziara yake rasmi ya Tanzania wakati akiwa Rais wa Marekani. Maktaba hiyo ya kuvutia inaendeshwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa ya habari na mawasiliano.
Rais Kikwete alikuwa amesimama mjini Dallas kwa muda akiwa njiani kutoka Washington D.C., kwenda Houston, jimbo hilo hilo la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog09 Aug
Rais Kikwete akutana na Rais Bush mjini Dallas
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) sehemu ambayo imejengwa kwa mfano wa Ikulu ya Marekani, White House, hususan katika bustani ya Waziri (Rose Garden) pamoja na ofisi ya Rais wa Marekani, Oval office.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) na kujionea nafasi kubwa iliyotolewa kwa Tanzania na zawadi ambazo Rais Bush...
11 years ago
Habarileo09 Aug
Simba wa Tanzania kivutio maktaba ya Bush
ZAWADI mbalimbali ambazo Tanzania ilimpatia Rais wa 43 wa Marekani, George W Bush zimekuwa kivutio kwa watu wanaotembelea maktaba yake ya Kirais mjini Dallas, Jimbo la Texas, Marekani, ikiwa ni pamoja na Simba mkubwa na seti ya mkufu wa madini ya tanzanite.
11 years ago
TheCitizen26 Jan
Man hides in ‘a bush’? No; in ‘the bush’
10 years ago
BBCSwahili16 Jun
Jeb Bush kugombea urais Marekani
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
Bush mwengine ataka urais Marekani
10 years ago
GPLGEORGE H.W BUSH ALAZWA HOSPITALI NCHINI MAREKANI
10 years ago
Vijimambo02 Jan
BUSH KUONGOZA MAREKANI TENA KWA MARA YA TATU
Jeb Bush ni mwana wa rais George Bush na nduguye ya George W Bush waliokuwa marais wa Marekani
Aliyekuwa Gavana wa Florida kupitia tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani Jeb Bush ameripotiwa kujiuzulu kutoka nyadhfa zake zote za bodi akijiandaa kuwania urais mwaka ujao.Gazeti la The WashingtonPost limenukuu ujumbe wake kutoka kwa msaidizi wake uliodai kwamba bwana Bush pia amejiuzulu katika bodi ya hazina yake ya elimu.Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 61 pia alitangaza mwezi...
10 years ago
StarTV16 Jun
Jeb Bush kugombea urais Marekani kupitia Republican.
Jeb Bush gavana wa Florida aliyetangaza kugombea urais wa Marekani 2016
Mwanasiasa wa chama cha Republican, na gavana wa jimbo la Florida, Jeb Bush ametangaza rasmi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania nafasi ya urais wa taifa hilo kubwa duniani kiuchumi kwa tiketi ya chama hicho cha Republican.
Akizungumza katika mkutano wake wa hadhara huko Miami,Jeb ambaye baba yake na kaka yake wamewahi kuongoza Marekani ameubeza utawala wa Rais Obama katika sera zake za mambo ya nje.
Lakini mwandishi wa...