Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete akutana na Rais Bush mjini Dallas

b1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) sehemu ambayo imejengwa kwa mfano wa Ikulu ya Marekani, White House, hususan katika bustani ya Waziri (Rose Garden) pamoja na ofisi ya Rais wa Marekani, Oval office.

b2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library)  na kujionea nafasi kubwa iliyotolewa kwa Tanzania na zawadi ambazo Rais Bush...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) mjini Dallas,Marekani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete walitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) na kujionea nafasi kubwa iliyotolewa kwa Tanzania na zawadi ambazo Rais Bush alizipata katika ziara yake rasmi ya Tanzania wakati akiwa Rais wa Marekani. Maktaba hiyo ya kuvutia inaendeshwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa ya habari na mawasiliano.
Rais Kikwete alikuwa amesimama mjini Dallas kwa muda akiwa njiani kutoka Washington D.C., kwenda Houston, jimbo hilo hilo la...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia

 .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jijini Windhoek Namibia ambapo walihudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Namibia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Hoteli ya Safari Court jijini Windhoek Namibia jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi(kulia) na Benjamin William Mkapa(kushoto) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako jijini...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA MJINI DUBAI WAKIWA NJIANI KUREJEA NYUMBANI

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama. Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC,...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini leo ikulu jijini Dar es Salaam

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini Dodoma

IMG-20140908-WA0005

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wakati alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma  Septemba 08, 2014.(Picha na Ikulu).

 

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini Dodoma leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wakati alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Septemba 08,2014.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE JIJINI PARIS

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MALAWI KATIKA SHEREHE ZA UHURU WA MSUMBIJI

 Ndege zikipita na kuchora rangi za bendera za Msumbiji jana wakati wa maadhimisho ya miaka 40 ya Uhuru wa msumbiji jana. Askari wa Msumbiji wakishuka na mwavuli wakati wa sherehe za uhuru(picha na Freddy Maro).Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Malawi Profesa Peter Mutharika wakitoka katika uwanja wa michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji baada ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya uhuru wa Msumbiji jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani