Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GEORGE H.W BUSH ALAZWA HOSPITALI NCHINI MAREKANI

George H.W Bush. ALIYEKUWA Rais wa 41 wa Marekani, George H.W Bush amekimbizwa katika hospitali ya Houston Methodist nchini Marekani baada ya kupatwa na tatizo la kupumua. Alipelekwa katika hospitali hiyo kwa gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) jana usiku.
Wawakilishi wa Bush wanasema kuwa hatua hiyo ya kupelekwa hospitali ni kama tahadhari. Bush mwenye umri wa miaka 90 alikuwa madarakani tangu mwaka 1989-1993 na ndiye Rais...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Kanye West alazwa hospitali nchini Australia

Kanye West alipelekwa na kulazwa kwenye hospitali nchini Australia na kufanyiwa scan ya ubongo wake kutokana maumivu makali ya kichwa. Staa huyo alikuwa apande jukwaani kutumbuiza huko Melbourne jioni ya September 10 kabla hajaugua ghafla mida ya saa nane mchana. Mwanamke mmoja aitwaye Loraine Kelly, ambaye mwanae alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Epworth ya Richmond […]

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) mjini Dallas,Marekani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete walitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) na kujionea nafasi kubwa iliyotolewa kwa Tanzania na zawadi ambazo Rais Bush alizipata katika ziara yake rasmi ya Tanzania wakati akiwa Rais wa Marekani. Maktaba hiyo ya kuvutia inaendeshwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa ya habari na mawasiliano.
Rais Kikwete alikuwa amesimama mjini Dallas kwa muda akiwa njiani kutoka Washington D.C., kwenda Houston, jimbo hilo hilo la...

 

10 years ago

BBCSwahili

George HW Bush avunjika shingo

Aliyekuwa rais wa Marekani George HW Bush amelazwa hospitalini baada ya kuvunjika mfupa wa shingoni alipoanguka nyumbani kwake huko Maine.

 

11 years ago

Michuzi

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Ulimwengu unavyofuatilia matukio nchini Marekani

Mataifa duniani yamekuwa yakifuatilia kwa mshangao matukio yanayoendelea nchini Marekani kufuatia maandamano ya ghasia yaliochochewa na - kifo cha George Floyd, mtu mweusi aliyefariki baada ya polisi mweupe kumzuilia chini kwa kutumia goti lake kwenye shingo hadi akashindwa kupumua.

 

11 years ago

Mwananchi

Alazwa hospitali kwa miaka 45

Usiombe yakupate. Abdi Lanjui (75), ametimiza mwaka wa 45 akiwa wodini katika Hospitali ya Mkoa wa Singida alikolazwa tangu mwaka 1971 baada ya kupata ajali ya lori.

 

11 years ago

BBCSwahili

Pervez Musharraf alazwa hospitali

Kiongozi wa zamani wa Pakistan, Pervez Musharraf amelazwa hospitali kwa kile kinachoshukiwa kuwa ni matatizo ya moyo

 

10 years ago

BBCSwahili

Bush mwengine ataka urais Marekani

Aliyekuwa Gavana wa Florida kupitia tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani Jeb Bush anajiandaa kuwania urais

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani