Kaseja asilimia 90 kutua Simba
Kipa Juma Kaseja, anakaribia kurejea kwenye klabu yake ya zamani ya Simba baada ya uongozi wa klabu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi kupanga kukutana na meneja wa mchezaji huyo leo kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kutaka kumsajili, imeelezwa jana jijini Dar es Salaam.
Simba imeamua kufanya mazungumzo ya kumsajili Kaseja kutokana na ripoti ya Kocha Mkuu, Mzambia Patrick Phiri, iliyoeleza kuwa inahitaji kupata kipa mzoefu ambaye ataisaidia timu kupata matokeo mazuri.
Akizungumza na gazeti hili jana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo29 Mar
KASEJA KIVUTIO SIMBA

Kaseja kivutio Simba
Mara baada ya kocha Goran Kopunovic kumaliza mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Simba walimvamia kipa huyo na kuanza kumsalimia huku wengine wakimtania
KIPA Juma Kaseja, leo amekuwa kivutio kikubwa kwa wachezaji wa Simba waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM.Mara baada ya kocha Goran Kopunovic kumaliza mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Simba walimvamia kipa huyo na kuanza kumsalimia huku wengine wakimtania.
Kaseja ameiambia Goal yeye ni...
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Boban, Kaseja kuitibulia Simba SC
11 years ago
GPL
Kaseja: Waleteni hao Simba SC
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Olunga mashakani kutua Simba
*Gor Mahia wataja dau kubwa, Kerr asema hajaona alichofanya Chalenji
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MPANGO wa klabu ya Simba kumnasa Straika wa Gor Mahia, Michael Olunga, umeingia mushkeli baada ya klabu yake kuitaka Simba ilipe dola 200,000 (zaidi ya Sh milioni 400 za Tanzania), kitu ambacho ni kigumu kwa klabu ya Wekundu hao wa Msimbazi kulipa kwa sasa.
Simba ilianza kumfukuzia Olunga tangu kwenye michuano ya Kagame, iliyofanyika hapa nchini kwa Azam kuwa mabingwa, lakini walishindwa...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Nyota Senegal kutua Simba
10 years ago
CloudsFM17 Dec
Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.
Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.
10 years ago
Habarileo03 Nov
Ndayisenga yuko tayari kutua Simba
MSHAMBULIAJI wa Burundi, Kevin Ndayisenga amesema kwamba yuko tayari kurejea Simba wakati wowote iwapo timu hiyo itafikia makubaliano na meneja wake, Dennis Kadito.
11 years ago
GPL
Mchezaji bora Ivory Coast kutua Simba Jumatano
11 years ago
Michuzi
kocha patrick phiri wa zambia kutua dar es salaam ijumaa tayari kuinoa simba SC

Phiri ni kocha anayekubalika zaidi mbele ya mashabiki wa Simba SC miongoni mwa makocha waliowahi kufundisha klabu hiyo- rekodi yake ya kukumbukwa zaidi ikiwa ni kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2009/2010 bila kufungwa hata...