Mchezaji bora Ivory Coast kutua Simba Jumatano
![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRlMTx*iEtXZCpdRN0tsmQgp-YQwdkeLKh71iMdU2g-jcHhjeI4ddYf*MtCYemRR7HBSm-h*Oc-jMYlr15hZjL1Q/mchezaji.jpg)
kiungo mpya wa Simba, Pierre Kwizera, Na Hans Mloli YULE kiungo anayesubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi na mashabiki wa Simba, Pierre Kwizera, anatarajiwa kutua nchini keshokutwa Jumatano. Lakini habari njema ni kwamba mchezaji huyo raia wa Burundi anayekipiga kwenye timu ya Afad Abdijan, ametajwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Ivory Coast, maarufu kama Ligue 1 iliyomalizika takriban wiki mbili zilizopita huku ndoo ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Azam yasajili mchezaji Ivory Coast
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Kiiza mchezaji bora Simba
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’, ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa timu hiyo, iliyotolewa kabla ya kuanza kwa mazoezi yao Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana.
Kiiza amepewa zawadi ya tuzo yenye picha ya kiatu pamoja na mpira na kiasi cha fedha cha Sh 500,000, akiwapiku wachezaji wenzake ambao nao walikuwa wakiishindania. Tuzo hiyo ya Kiiza imetokana na moto wake wa kufunga mabao Ligi Kuu akiwa kileleni amefunga...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC
![DSCF1094-768x403](http://cdn2.yatosha.com/wp-content/uploads/2015/12/DSCF1094-768x403.jpg)
9 years ago
MichuziKIIZA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBER SIMBA SPORT CLUB
9 years ago
MichuziSIMBA SPORT CLUB YAANZISHA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-asM6A54Ytt0/VgWlojgNzAI/AAAAAAAAIHs/3Gby14fWa34/s640/DAKA%2BRATIBA%2B-02_2.png)
10 years ago
MichuziSimba yapanga kumpa gari mchezaji bora wa timu hiyo
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, Rais wa Simba Evans Aveva alisema kuwa chini ya uongozi wake wameanzisha tuzo hizo kwa wachezaji wa Simba ili kuibua morali ya wachezaji na kuthamini mchango wao na hiyo imekuja baada ya klabu hiyo ya wekundu wa Msimbazi kuingia mkataba wa miaka mitano na Kampuni ya EAG ambao watakuwa na jukumu la...
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mohamed Tshabalala mchezaji bora wa mwezi Oktoba Simba Sport Club
Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.
Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam Rais wa Simba Evans Aveva alisema “Uongozi, wanachama na wapenzi wa...
9 years ago
MichuziMOHAMED TSHABALALA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OCKTOBA SIMBA SPORT CLUB
Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.