Simba yapanga kumpa gari mchezaji bora wa timu hiyo
Uongozi wa Klabu ya Simba umepanga kumpa gari mchezaji bora wa klabu hiyo katika sherehe za Simba maarufu 'Simba Day' inayofanyika kila mwaka Agosti 8.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, Rais wa Simba Evans Aveva alisema kuwa chini ya uongozi wake wameanzisha tuzo hizo kwa wachezaji wa Simba ili kuibua morali ya wachezaji na kuthamini mchango wao na hiyo imekuja baada ya klabu hiyo ya wekundu wa Msimbazi kuingia mkataba wa miaka mitano na Kampuni ya EAG ambao watakuwa na jukumu la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Kiiza mchezaji bora Simba
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’, ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa timu hiyo, iliyotolewa kabla ya kuanza kwa mazoezi yao Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana.
Kiiza amepewa zawadi ya tuzo yenye picha ya kiatu pamoja na mpira na kiasi cha fedha cha Sh 500,000, akiwapiku wachezaji wenzake ambao nao walikuwa wakiishindania. Tuzo hiyo ya Kiiza imetokana na moto wake wa kufunga mabao Ligi Kuu akiwa kileleni amefunga...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC
![DSCF1094-768x403](http://cdn2.yatosha.com/wp-content/uploads/2015/12/DSCF1094-768x403.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRlMTx*iEtXZCpdRN0tsmQgp-YQwdkeLKh71iMdU2g-jcHhjeI4ddYf*MtCYemRR7HBSm-h*Oc-jMYlr15hZjL1Q/mchezaji.jpg)
Mchezaji bora Ivory Coast kutua Simba Jumatano
9 years ago
MichuziSIMBA SPORT CLUB YAANZISHA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-asM6A54Ytt0/VgWlojgNzAI/AAAAAAAAIHs/3Gby14fWa34/s640/DAKA%2BRATIBA%2B-02_2.png)
9 years ago
MichuziKIIZA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBER SIMBA SPORT CLUB
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mohamed Tshabalala mchezaji bora wa mwezi Oktoba Simba Sport Club
Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.
Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam Rais wa Simba Evans Aveva alisema “Uongozi, wanachama na wapenzi wa...
9 years ago
MichuziMOHAMED TSHABALALA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OCKTOBA SIMBA SPORT CLUB
Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
11 years ago
Michuzi06 Jun
BREAKING NYUZZZZ....: MCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AFARIKI DUNIA MCHANA HUU
GLOGU YA JAMII INAFATILIA TARATIBU ZOTE ZA MSIBA HUO NA TUTAENDELEA KUTAARIFIANA KADRI TUTAKAVYOKUWA TUKIZIPATA.
10 years ago
Vijimambo19 Jun
Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa
Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.