Kaseja majanga...
![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2I-ABxGZyKWY0jBkT2Y-wVdFtRddRGH0-kVzdYQbd3PIM-bS*4ApOewa140TBipxHl*1j9iPMDrWYzKORHZliPV/KASEJA.jpg?width=500)
Kipa wa Yanga, Juma Kaseja. Na Phillip Nkini KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amesema yeye ni mzima wa afya na kukosekana kwake kwenye mechi dhidi ya Ashanti siyo ishu kubwa, lakini kocha wake amesisitiza aliamua kumfanya chaguo la tatu kutokana na kiwango. Kaseja alijiunga na Yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba na kukaa nje nusu msimu bila kucheza, lakini juzi ukiwa ndiyo mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa ligi kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Dec
Kaseja ‘kushtakiwa’
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Kaseja ajitetea
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amejitetea na kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe, akisema ni hali ya kimchezo. Akizungumza baada ya mechi hiyo...
11 years ago
TheCitizen22 May
Kaseja, ‘Barthez’ on their way out
11 years ago
Mwananchi22 May
Kaseja hatihati
10 years ago
Mwananchi07 Dec
Pondamali amtetea Kaseja
10 years ago
Vijimambo29 Mar
KASEJA KIVUTIO SIMBA
![](http://static.goal.com/1150700/1150702_heroa.jpg)
Kaseja kivutio Simba
Mara baada ya kocha Goran Kopunovic kumaliza mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Simba walimvamia kipa huyo na kuanza kumsalimia huku wengine wakimtania
KIPA Juma Kaseja, leo amekuwa kivutio kikubwa kwa wachezaji wa Simba waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM.Mara baada ya kocha Goran Kopunovic kumaliza mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Simba walimvamia kipa huyo na kuanza kumsalimia huku wengine wakimtania.
Kaseja ameiambia Goal yeye ni...
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Kaseja kizimbani Februari 12
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Awadhi amtisha Kaseja
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Awadhi Juma, aliyefunga bao la tatu katika mechi ya Nani Mtani Jembe, amesema ana uchu wa kutikisa nyavu kwa sasa huku akimtishia nyau kipa wa Yanga,...
10 years ago
Mtanzania09 Jan
Kaseja atimuliwa Yanga
JUDITH PETER NA SAADA AKIDA
KLABU ya soka ya Yanga, imevunja mkataba wake na kipa, Juma Kaseja, kwa kushindwa kufuata kanuni na masharti yaliyowekwa na uongozi wa klabu hiyo, kuchelewa kuripoti kambini kwa saa 48 na kutohudhuria mazoezi.
Yanga ilitoa tahadhari kuwa mchezaji yeyote ambaye atashindwa kuripoti kambini ndani ya saa 48 na kukosa mazoezi bila ruhusa maalumu ya kocha, atakuwa amevunja mkataba wake na kujifukuzisha kazi.
Kaseja amekuwa mchezaji wa kwanza wa Yanga kukumbwa na adhabu...