Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Awadhi amtisha Kaseja

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Awadhi Juma, aliyefunga bao la tatu katika mechi ya Nani Mtani Jembe, amesema ana uchu wa kutikisa nyavu kwa sasa huku akimtishia nyau kipa wa Yanga,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mbunge amtisha DC Karagwe

Na Arodia Peter, Dodoma
MBUNGE wa Karagwe (CCM), Gozibert Blandes, amemtishia kumfanyia kitu kibaya Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Dari Rwegasira, kutokana na kuwapendelea wahamiaji haramu kutoka Rwanda.
Mbali na hilo pia mbunge huyo ameitaka Serikali kumhamisha.
Blandesi alitoa vitisho hivyo bungeni jana wakati akichangia bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2015/2016.

Alisema Rwegasira amekuwa mstari wa mbele kunyanyasa wananchi kwa kuwanyang’anya ardhi katika vijiji vilivyo mpakani na...

 

11 years ago

Habarileo

Katibu Mkuu amtisha Kafulila

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi ameibuka na kuzungumzia sakata la kuitwa Mwizi na Mbunge wa Kigoma Kusini,David Kafulila (NCCR –Mageuzi )na kumtaka kama ana ubavu azungumzie nje ya Bunge.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri amtisha Rais Yoweri Museveni

>Waziri wa Serikali za Mitaa nchini Uganda, Alex Onzima ametishia kujiuzulu wadhifa wake iwapo Rais Yoweri Museveni hatakubali kutia saini muswada unaohusu wapenzi wa jinsia moja.

 

9 years ago

Raia Tanzania

Mganga wa kienyeji amtisha mgombea urais

MGANGA wa kienyeji kutoka Mkuranga mkoani Pwani, amemtabiria mgombea urais kupitia chama cha upinzani iwapo ataendelea kutumia fedha kurubuni wananchi wamchague atapoteza maisha kabla siku ya uchaguzi.

Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana mganga huyo aliyejitambulisha kwa jina la Elisha Kazimoto, ambaye hata hivyo hakutaka kutaja jina la mgombea huyo alisema ameoteshwa na mizimu kuwa anatumia fedha zinazochovywa kwenye damu na kugaiwa kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive kuelekea uchaguzi Mkuu: Julius Mtatiro amtisha Makongoro Mahanga Segerea

kMTATIROJulius Mtatiro wa CUF ambaye analiwania jimbo la Segerea …kupitia UKAWA

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Dar es Salaam). Mnamo Agosti 2.2015, Aliyekua Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Milton Makongoro  Mahanga ametangaza rasmi kujiunga  na upinzani kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).. hata hivyo  baada ya kutangaza huko tayari  wanasiasa mbalimbali wamekuwa na maoni yao huku wengine wakimtaka akubali ushindani ndani ya UKAWA.

Miongoni mwa wanasiasa hao ni pamoja na Kada...

 

10 years ago

Michuzi

DKT.SHEIN, DKT. BILAL WAONGOZA MAZISHI YA MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI SALMIN AWADHI SALMIN, MAKUNDUCHI ZANZIBAR

Baadhi ya Viongozi wa juu wa Serikali, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria maziko ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, marehemu Salmin Awadh Salmin, huko Makunduchi mjini Zanzibar. Marehemu Salmin amezikwa leo Feb, 20, 2015 kijijini kwake Makunduchi Zanzibar.Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, akiweka udongo katika kaburi la marehemu Salmin Awadh Salmin, wakati wa shughuli za maziko yake zilizofanyika katika kijiji cha Makunduchi mjini Zanzibar jana Feb, 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Kaseja ‘kushtakiwa’

Kipa Juma Kaseja amewekwa kati akitarajiwa kujadiliwa na kuchukuliwa hatua na kamati ya nidhamu ya klabu ya Yanga akituhumiwa kukacha mazoezi, jambo ambalo ni utovu wa nidhamu.

 

11 years ago

GPL

Kaseja majanga...

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja. Na Phillip Nkini
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amesema yeye ni mzima wa afya na kukosekana kwake kwenye mechi dhidi ya Ashanti siyo ishu kubwa, lakini kocha wake amesisitiza aliamua kumfanya chaguo la tatu kutokana na kiwango. Kaseja alijiunga na Yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba na kukaa nje nusu msimu bila kucheza, lakini juzi ukiwa ndiyo mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa ligi kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kaseja hatihati

Hatma ya kipa Juma Kaseja, kuendelea kuichezea Yanga ipo mikononi mwa mashabiki wa klabu hiyo kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi yaliyowasilishwa kwa viongozi wa timu hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani