Mbunge amtisha DC Karagwe
Na Arodia Peter, Dodoma
MBUNGE wa Karagwe (CCM), Gozibert Blandes, amemtishia kumfanyia kitu kibaya Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Dari Rwegasira, kutokana na kuwapendelea wahamiaji haramu kutoka Rwanda.
Mbali na hilo pia mbunge huyo ameitaka Serikali kumhamisha.
Blandesi alitoa vitisho hivyo bungeni jana wakati akichangia bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2015/2016.
Alisema Rwegasira amekuwa mstari wa mbele kunyanyasa wananchi kwa kuwanyang’anya ardhi katika vijiji vilivyo mpakani na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Awadhi amtisha Kaseja
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Awadhi Juma, aliyefunga bao la tatu katika mechi ya Nani Mtani Jembe, amesema ana uchu wa kutikisa nyavu kwa sasa huku akimtishia nyau kipa wa Yanga,...
11 years ago
Habarileo28 Jun
Katibu Mkuu amtisha Kafulila
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi ameibuka na kuzungumzia sakata la kuitwa Mwizi na Mbunge wa Kigoma Kusini,David Kafulila (NCCR –Mageuzi )na kumtaka kama ana ubavu azungumzie nje ya Bunge.
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Waziri amtisha Rais Yoweri Museveni
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
Mganga wa kienyeji amtisha mgombea urais
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Exclusive kuelekea uchaguzi Mkuu: Julius Mtatiro amtisha Makongoro Mahanga Segerea
Julius Mtatiro wa CUF ambaye analiwania jimbo la Segerea …kupitia UKAWA
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar es Salaam). Mnamo Agosti 2.2015, Aliyekua Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Milton Makongoro Mahanga ametangaza rasmi kujiunga na upinzani kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).. hata hivyo baada ya kutangaza huko tayari wanasiasa mbalimbali wamekuwa na maoni yao huku wengine wakimtaka akubali ushindani ndani ya UKAWA.
Miongoni mwa wanasiasa hao ni pamoja na Kada...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-pEW3hs-ayjY/VXncRILwGUI/AAAAAAAAd18/M6HN2IQKGcs/s72-c/23.jpg)
KINANA KARAGWE
Akabidhi pikipiki tano
Asisitiza kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Ameahidi kusimamia haki na kutetea wanyonge
![](http://4.bp.blogspot.com/-pEW3hs-ayjY/VXncRILwGUI/AAAAAAAAd18/M6HN2IQKGcs/s1600/23.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Xd3OiUMlyyA/VXncRaHo4vI/AAAAAAAAd2A/sV5G6DsQNXQ/s640/24.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NXgQMmpfhwQ/VXncL_izxaI/AAAAAAAAd10/p7wNnmPTNHw/s640/25.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima24 May
DC wa Karagwe apata ajali
MKUU wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Darry Rwegasira amepata ajali katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Nyamirembe Wilayani Chato mkoani Geita juzi. Akizungumza kwa njia ya simu na Tanzania...
10 years ago
Habarileo16 May
Serikali kumchunguza DC wa Karagwe
SERIKALI imepokea tuhuma dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Darry Rwegasira za madai ya kuwanyanyasa wananchi wa wilaya hiyo na kuwapa kipaumbele wahamiaji haramu kutoka Rwanda.
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Maaskofu KKKT Karagwe wacharuka
MAASKOFU, wachungaji na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, wamecharuka na kuvamia Kituo cha Polisi cha Karagwe wakipinga Mchungaji wao, Jackson Kanyiginya, kunyimwa dhamana...