Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka miwili bila Regia Mtema

JANA ilitimia miaka miwili tangu alipofariki Mbunge wa Viti Maalum, Regia Mtema (CHADEMA), katika kifo kilichosababishwa na ajali mbaya ya gari mkoani Pwani, Januari 14, 2011. Misa takatifu ya kumbukumbu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)

Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo  kutokana na  upelelezi  wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...

 

9 years ago

Michuzi

NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILI

NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILIKamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi Kuu iliyokutana leo kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza nchini imemfungia mchezji Juma Nyoso wa timu ya Mbeya City kucheza mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka miwili na faini ya shilingi milioni mbili (2,000,000) kufutia kitendo cha udhalilishaji alichomfanyia mchezaji wa Azam FC John Bocco.Nyoso alifanya kitendo hicho katika mchezo no namba 32 wa VPL kati ya Azam FC na...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri aomba miaka miwili

Kocha wa Simba, Mzambia Patrick Phiri amesema iwapo klabu yake itamvumilia kwa miaka miwili atatengeneza wachezaji bora kama ilivyo kwa nyota wa TP Mazembe ya DR Congo (DRC), Mbwana Samatta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Santo miaka miwili Simba

KLABU ya Simba imesajili nyota wawili Wakenya; Raphael Mungai kutoka Klabu ya KCB ya Kenya anayecheza nafasi ya ushambuliaji na kiungo wake wa zamani, Jerry Santo akitokea Coastal Union ya...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mtoto ateswa miaka miwili

>Mtoto Merina Mathayo (15) amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (Moi) Muhimbili Dar es Salaam, baada ya kuteswa na kujeruhiwa  kichwani kwa kipigo maeneo mbalimbali ya mwili na bosi wake kwa miaka miwili.

 

11 years ago

Michuzi

Kumbukumbu ya Miaka Miwili (1955-2012)

Mpendwa Baba yetu, Joseph Mturi MahembaHatimaye siku, Miezi imepita hadi hii leo ambapo imetimia Miaka miwili (2) tangu ulipotutoka ghafla usiku ule wa siku ya jumatano ya tarehe moja ya Mwezi Agosti, 2012 na kutuachia huzuni kubwa.
 Japokuwa haupo nasi hapa duniani lakini tupo nawe kiroho kwa kuendeleza mema yote uliyotufundisha na kutuasa. Tunakukumbuka kwa Upole, Upendo, Busara na Ukarimu uliokuwa nao kwa familia na Marafiki. Mwongozo na matendo yako yataendelea kuwa dira kwetu.
Daima...

 

9 years ago

Mwananchi

Diego kusaini miaka miwili Yanga

Kiungo mpya wa Yanga, Issoufou Boubacar ‘Diego’ amefuzu vipimo vya afya na muda wowote leo anatarajiwa  kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu hiyo.  

 

9 years ago

Vijimambo

Nyosso kufungiwa miaka miwili TFF.

Wakati Rais wa TFF, Jamal Malinzi.
Wakati Rais wa TFF, Jamal Malinzi, ameweka wazi kuwa shirikisho hilo la soka nchini litamwadhibu Juma Nyosso, beki huyo wa kati wa Mbeya City yuko hatarini kufungiwa miaka miwili kucheza soka kutokana na kurudia tabia yake chafu ya kupenyeza kidole katikati ya makalio ya wachezaji wa timu pinzani.

Aidha, mshambuliaji Donald Ngoma wa Yanga yuko hatarini kufungiwa mechi tatu na kupigwa faini kutokana na kumpiga kichwa kwa makusudi mbali na ulipokuwapo mpira...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Singano asaini miaka miwili Azam FC

YAMETIMIA. Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Ramadhan Singano ‘Messi’, jana ameingia mkataba wa miaka miwili kuichezea Klabu ya Azam FC.

Kabla Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji mwanzoni mwa wiki hii kumuidhinisha Singano kuwa huru baada ya klabu yake ya zamani, Simba kushindwa kutekeleza matakwa ya mkataba wake, kulikuwa na tetesi  kuwa Azam FC walitaka kumsajili.

Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Idd, alisema kuwa klabu yao imemsainisha mchezaji huyo mkataba wa miaka miwili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani