Ngassa ajilaumu, azikumbuka Azam na Simba
Mrisho Ngassa Akizungumza na Mwanaspoti, Ngassa alisema kuwa anajuta kwanini alizikatalia klabu hizo zilizokuwa na malengo mazuri ya kumuuza kwenye klabu ya El Merreikh ya Sudan na badala yake akang’ang’ania kubaki Tanzania kisa ikiwa ni mapenzi yake kwa Yanga ambayo yamemnyima fursa kwenye maisha yake ya soka.
WINGA wa Yanga, Mrisho Ngassa, amekiri kwamba akiwa mikononi mwa Simba na Azam, klabu hizo zilitaka kumpa dili la maana lakini Yanga wakaingilia kati na kufanikiwa kutibua kwa matajiri...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
Maximo awaandaa Msuva, Ngassa kuwamaliza Simba
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Ngassa ajuta kuwatosa El Merreikh, aomba msamaha mashabiki wa simba, adai Yanga wamemgeuka
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Ngassa, amejutia uamuzi wake wa kukataa kujiunga na El Merreikh ya Sudan akisema kuwa yalikuwa ni mapenzi yake makubwa kuichezea Yanga.
Akiongea na Shaffihdauda.com baada ya mchezo wa jana alipoibuka shujaa kwa kuifungia Yanga bao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, Ngassa alisema kuwa baada ya kugundua alifanya makosa makubwa kuwagomea Simba na Azam FC ambao ndio walitaka kumpeleka El...
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Azam yaitisha Simba
NA ZAINAB IDDY
TIMU ya Azam FC imewatangazia hali ya hatari Simba katika mechi yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayochezwa Desemba 12 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Azam imetamba kuinyuka Simba katika mchezo huo, ambapo hadi sasa vinara hao wa ligi kuu wamefikisha pointi 25, wapinzani wao hao wakishika nafasi ya nne wakiwa na pointi 21 katika mechi tisa walizocheza kila mmoja.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Ofisa Habari wa Azam, Jaffar Idd, alisema maandalizi yao kwa...
10 years ago
MichuziSimba yaifunga Azam FC 2-1
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
9 years ago
Habarileo06 Dec
Azam kamili kuivaa Simba
WACHEZAJI wa Azam FC wamesema mafunzo wanayopewa katika kambi yao ya Tanga yanatosha kuwamaliza wapinzani wao Simba Jumamosi wiki ijayo.
9 years ago
Habarileo12 Dec
Azam, Yanga, Simba vitani
LEO ni vita ya namba. Baada ya mapumziko ya mwezi mmoja michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kutimua vumbi katika viwanja sita tofauti, huku Simba, Azam FC na Yanga kila moja ikiingia katika vita ya namba kusaka pointi tatu muhimu.
10 years ago
Mwananchi01 Oct
Yanga, Azam, Simba usipime
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Simba kuivaa Azam FC leo
11 years ago
Mwananchi29 Sep
Azam, City zapeta, Simba mh!