Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngassa ajuta kuwatosa El Merreikh, aomba msamaha mashabiki wa simba, adai Yanga wamemgeuka

Na Richard Bakana, Dar es salaam
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Ngassa, amejutia uamuzi wake wa kukataa kujiunga na El Merreikh ya Sudan akisema kuwa yalikuwa ni mapenzi yake makubwa kuichezea Yanga.

Akiongea na Shaffihdauda.com baada ya mchezo wa jana alipoibuka shujaa kwa kuifungia Yanga bao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, Ngassa alisema kuwa baada ya kugundua alifanya makosa makubwa kuwagomea Simba na Azam FC ambao ndio walitaka kumpeleka El...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Matola aomba sapoti kwa mashabiki Simba

KOCHA msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amewataka mashabiki wa timu hiyo kuendelea kuipa sapoti yao, kwani bado ina nafasi ya kufanya maajabu kwa kubeba ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu.

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

Mashabiki Yanga waishabikia Simba

Mashabiki wa Yanga. Lucy Mgina na Ibrahim Mussa
KATIKA tukio la kushangaza, ambalo pengine lilionekana ni kama mchezo wa kuigiza, mashabiki wa Yanga, jana Jumapili waliamua kufunika kombe baada ya kuishabikia Simba kwa nguvu zote huku baadhi yao wakiwa na bendera za Msimbazi. Mashabiki wa Yanga ambao wengi wao walikuwa wakiipa nguvu Simba ili iifunge Azam kwenye Uwanja wa Taifa, walifanya hivyo ili Azam ipunguzwe kasi kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndugu ya Adebayor aomba msamaha

Ndugu ya mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Emmanuel Adebayor ameomba msamaha baada ya nyota huyo kumshtumu katika mtandao wa facebook

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanye West aomba Msamaha

Kanye West ametekeleza matakwa ya kesi iliyokuwa ikimkabilia ya kumpiga paparazi.

 

9 years ago

Mtanzania

Jason Derulo aomba msamaha

Jason DeruloCHRISTOPHER MSEKENA

NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Jason Derulo, ameomba msamaha kwa mashabiki wake wa Afrika Kusini mara baada ya kutamka maneno yaliyotafsiriwa kuwa ni dharau kwa waliohudhuria onyesho lake.

Mkali huyo aliwauliza mashabiki wake kama wanajua Kiingereza ‘Y, all speak English, right?’ , maneno yaliyozua vurugu kwenye onyesho hilo lililoambatana na utolewaji wa tuzo za Afrika Kusini maarufu kama ANN7 zilizofanyika usiku wa jana huko Johannesburg.

“Sikujua kama naweza...

 

10 years ago

Mwananchi

Mashabiki Yanga wang’ara kwa Simba

Wakati shindano la ‘Nani Mtani Jembe 2’ baina ya mashabiki wa Yanga, Simba likiendelea nchini kote, upande wa Yanga umeendelea kufanya vyema katika kampeni hiyo ya kuwania Sh80 milioni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yaya aliyemtesa mtoto UG aomba msamaha

Mfanyakazi wa nyumbani aliyenaswa kwenye kanda ya video akimchapa na kumkanyaga mtoto nchini Uganda, ameomba msamaha kwa kosa hilo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani