Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jason Derulo aomba msamaha

Jason DeruloCHRISTOPHER MSEKENA

NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Jason Derulo, ameomba msamaha kwa mashabiki wake wa Afrika Kusini mara baada ya kutamka maneno yaliyotafsiriwa kuwa ni dharau kwa waliohudhuria onyesho lake.

Mkali huyo aliwauliza mashabiki wake kama wanajua Kiingereza ‘Y, all speak English, right?’ , maneno yaliyozua vurugu kwenye onyesho hilo lililoambatana na utolewaji wa tuzo za Afrika Kusini maarufu kama ANN7 zilizofanyika usiku wa jana huko Johannesburg.

“Sikujua kama naweza...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Jason Derulo aweka wazi sababu za yeye na Jordin Sparks kuachana

Couple ya waimbaji Jason Derulo na Jordin Sparks ndio iliyoonekana kuwashtua zaidi wengi baada ya taarifa za kuachana kwao kusambaa, na hii inatokana na kuwa hapakuwahi kusikika hata taarifa za ugomvi baina yao. Lakini Derulo ameweka wazi baadhi ya sababu za ndani zilizopelekea ‘mv mapenzi ‘ ya wawili hao kushindwa kuhimili mawimbi ya bahari ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Jason Derulo afanya ‘live cover’ ya wimbo wa Fetty Wap ‘Trap Queen’

Muimbaji wa R&B, Jason Derulo amefanya cover ya ngoma ya rapper Fetty Wap ‘Trap Queen’ kwenye kipindi cha Live Lounge cha BBC Radio 1. Mtazame hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Jason Derulo awekwa kitimoto Afrika Kusini baada ya kuwauliza kama wanajua Kiingereza!

Jason Derulo ameiona ziara yake ya Afrika Kusini chungu baada ya kutamka maneno yaliyowakera wasouth wengi. Muimbaji huyo wa Marekani alitoa kauli hiyo wakati wa tuzo za ANN7, South African of the Year jijini Johannesburg. “Y’all speak English, right?” aliuliza. Mashabiki wa muziki waliohudhuria show hiyo walikimbilia kwenye mitandao ya kijamii kuelezea kuchukizwa kwao na […]

 

10 years ago

Bongo5

Jordin Sparks amdis ex-mchumba wake Jason Derulo kwenye wimbo mpya ‘How Bout Now’ remix

Jordin Sparks ametoa wimbo mpya ambao ndani yake amemzungumzia aliyekuwa mchumba wake Jason Derulo ambaye waliachana September mwaka huu baada ya kudumu kwa miaka mitatu. Haya ni baadhi ya mashairi ya wimbo huo yanayozungumzia uhusiano wao: “Remember I deleted all my other guys’ numbers out my phone for ya? / Remember when you broke your […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanye West aomba Msamaha

Kanye West ametekeleza matakwa ya kesi iliyokuwa ikimkabilia ya kumpiga paparazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani