Jason Derulo awekwa kitimoto Afrika Kusini baada ya kuwauliza kama wanajua Kiingereza!
Jason Derulo ameiona ziara yake ya Afrika Kusini chungu baada ya kutamka maneno yaliyowakera wasouth wengi. Muimbaji huyo wa Marekani alitoa kauli hiyo wakati wa tuzo za ANN7, South African of the Year jijini Johannesburg. “Y’all speak English, right?” aliuliza. Mashabiki wa muziki waliohudhuria show hiyo walikimbilia kwenye mitandao ya kijamii kuelezea kuchukizwa kwao na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Jason Derulo aomba msamaha
CHRISTOPHER MSEKENA
NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Jason Derulo, ameomba msamaha kwa mashabiki wake wa Afrika Kusini mara baada ya kutamka maneno yaliyotafsiriwa kuwa ni dharau kwa waliohudhuria onyesho lake.
Mkali huyo aliwauliza mashabiki wake kama wanajua Kiingereza ‘Y, all speak English, right?’ , maneno yaliyozua vurugu kwenye onyesho hilo lililoambatana na utolewaji wa tuzo za Afrika Kusini maarufu kama ANN7 zilizofanyika usiku wa jana huko Johannesburg.
“Sikujua kama naweza...
10 years ago
Bongo530 Sep
Jason Derulo aweka wazi sababu za yeye na Jordin Sparks kuachana
9 years ago
Bongo528 Oct
Video: Jason Derulo afanya ‘live cover’ ya wimbo wa Fetty Wap ‘Trap Queen’
11 years ago
GPL05 Jun
10 years ago
Bongo526 Nov
Jordin Sparks amdis ex-mchumba wake Jason Derulo kwenye wimbo mpya ‘How Bout Now’ remix
10 years ago
Bongo519 Sep
Macklemore aeleza kuumizwa baada ya kusitishwa kwa tamasha la TribeOne, Afrika Kusini