Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jordin Sparks amdis ex-mchumba wake Jason Derulo kwenye wimbo mpya ‘How Bout Now’ remix

Jordin Sparks ametoa wimbo mpya ambao ndani yake amemzungumzia aliyekuwa mchumba wake Jason Derulo ambaye waliachana September mwaka huu baada ya kudumu kwa miaka mitatu. Haya ni baadhi ya mashairi ya wimbo huo yanayozungumzia uhusiano wao: “Remember I deleted all my other guys’ numbers out my phone for ya? / Remember when you broke your […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Jason Derulo aweka wazi sababu za yeye na Jordin Sparks kuachana

Couple ya waimbaji Jason Derulo na Jordin Sparks ndio iliyoonekana kuwashtua zaidi wengi baada ya taarifa za kuachana kwao kusambaa, na hii inatokana na kuwa hapakuwahi kusikika hata taarifa za ugomvi baina yao. Lakini Derulo ameweka wazi baadhi ya sababu za ndani zilizopelekea ‘mv mapenzi ‘ ya wawili hao kushindwa kuhimili mawimbi ya bahari ya […]

 

10 years ago

GPL

PENZI LA JORDIN SPARKS BADO LAMTESA DERULO

Rapa Jason Derulo. New York, Marekani
RAPA Jason Derulo ameweka wazi kwamba amekuwa na wakati mgumu tangu aachane na kipenzi chake cha miaka mingi, Jordin Sparks ambaye pia ni staa wa muziki.Wawili hao wamekuwa kwenye uhusiano kwa kipindi cha miaka mitatu, kabla ya kuachana Septemba, mwaka jana. Rapa Jason Derulo akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Jordin Sparks.
Derulo ameweka wazi kuwa… ...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Jason Derulo afanya ‘live cover’ ya wimbo wa Fetty Wap ‘Trap Queen’

Muimbaji wa R&B, Jason Derulo amefanya cover ya ngoma ya rapper Fetty Wap ‘Trap Queen’ kwenye kipindi cha Live Lounge cha BBC Radio 1. Mtazame hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Sauti Sol waonesha mpango wa kutaka kumshirikisha John Legend kwenye remix ya wimbo wao mpya ‘Isabella ’

Ikiwa ni wiki moja tu imepita toka Sauti Sol watoe wimbo mpya ‘Isabella’, ikiwa ni single yao ya sita kutoka kwenye album yao ijayo ya tatu, bendi hiyo imeonesha dalili kuwa ina mpango wa kumshirikisha mwimbaji wa kimataifa wa RnB, John Legend kwenye remix ya wimbo huo. Kupitia akaunti yao ya Instagram, Sauti Sol wamewashirikisha […]

 

9 years ago

Mtanzania

Jason Derulo aomba msamaha

Jason DeruloCHRISTOPHER MSEKENA

NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Jason Derulo, ameomba msamaha kwa mashabiki wake wa Afrika Kusini mara baada ya kutamka maneno yaliyotafsiriwa kuwa ni dharau kwa waliohudhuria onyesho lake.

Mkali huyo aliwauliza mashabiki wake kama wanajua Kiingereza ‘Y, all speak English, right?’ , maneno yaliyozua vurugu kwenye onyesho hilo lililoambatana na utolewaji wa tuzo za Afrika Kusini maarufu kama ANN7 zilizofanyika usiku wa jana huko Johannesburg.

“Sikujua kama naweza...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Rick Ross amtumia mchumba wake Lira Galore kwenye video mpya ‘Sorry’

rick-ross-sorry-video

Rick Ross ameachia video ya wimbo wake ‘Sorry’ aliomshirikisha Chris Brown ambao ulitoka mwezi uliopita.

Kwenye video hiyo Rozay amemtumia mchumba wake Lira Galore kama video model, ikiwa ni siku moja tu imepita toka rapper huyo apost video kwenye mtandao wa Snapchat ikimuonesha yuko na Lira ambaye alionekana amevaa pete ya uchumba aliyovishwa na Rozay, siku chache toka zisambae taarifa kuwa wawili hao wameachana na Lira karudisha pete.

‘Sorry’ ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye album mpya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani