PENZI LA JORDIN SPARKS BADO LAMTESA DERULO
![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSKWs4QgQf9nKuAwCB4MJr4KCv0lg6pgWTVgXF*nPlsgjgxRRYeHvLGPV1t09c5GFJJSIGMAOZdY32AEhx1KA2Gl/JASONDERULOGOLDMINER1700x1050.jpg?width=650)
Rapa Jason Derulo. New York, Marekani RAPA Jason Derulo ameweka wazi kwamba amekuwa na wakati mgumu tangu aachane na kipenzi chake cha miaka mingi, Jordin Sparks ambaye pia ni staa wa muziki.Wawili hao wamekuwa kwenye uhusiano kwa kipindi cha miaka mitatu, kabla ya kuachana Septemba, mwaka jana. Rapa Jason Derulo akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Jordin Sparks. Derulo ameweka wazi kuwa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo530 Sep
Jason Derulo aweka wazi sababu za yeye na Jordin Sparks kuachana
10 years ago
Bongo526 Nov
Jordin Sparks amdis ex-mchumba wake Jason Derulo kwenye wimbo mpya ‘How Bout Now’ remix
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-M5JLAFxn1EQdl1huIF4nx25ffFqBcJTIeb8ix5erIQLE3nX*L6SBTksG*j*BDDwqW2pm2s6faUmKPk20rDTIlI9EojT2FdA/tx.jpg?width=650)
PENZI LA SHUMILETA LAMTESA TX MOSHI JR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HjAnC3puPQ1t5YrSKDgbHRIg0XfkAWNQohvRxG-M1l5JSBD8q5kS4tmds3WUzpZrZH7Y5TV4UIYIujUvNOsu96DiwubDt8KZ/LUNGI.jpg)
PENZI KINYUME NA MAUMBILE LAMTESA LUNGI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD51-DmbtWWQFcOzfjLGDK-kVvSokBKW5Wh2B6foWEE46vaO7VcoeKwEWoOv8Sm2l0l9jLflG*Eyr96MiumRCsXSsP/couplehappilysleeping.jpg?width=650)
KWA NINI UKUBALI PENZI LIFE UNAONA WAKATI BADO MNAPENDANA?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DBD4PE5EidWWUCtxtyedMD9H3ZhGD3wvKroacFqVzJmzzVklSIKArLuGodah8ZGZ4Bk-FCPj9pmEmenErylJL4qKF7OdKHxr/gonjwa.jpg?width=650)
GONJWA LA AJABU LAMTESA
10 years ago
Mtanzania06 Jun
Jinamizi la Ukawa lamtesa Sitta
NA SARAH MOSSI, DODOMA
MAKADA wengine watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samuel Sitta, Profesa Sospeter Muhongo na Dk. Titus Kamani nao wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania nafasi ya urais.
Kujitosa kwa wanasiasa hao katika kinyang’anyiro hicho kunaifanya idadi ya makada wa chama hicho waliochukua fomu kufikia 13 hadi kufikia jana.
SITTA
Sitta, ambaye ni Waziri wa Uchukuzi, ndiye aliyekuwa wa pili kuchukua fomu hiyo kwa siku ya jana, akitanguliwa na Profesa Sospeter...