Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENZI KINYUME NA MAUMBILE LAMTESA LUNGI

Msanii wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga. Stori:Laurent Samatta
MSANII wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga, amesema kuwa mpenzi wake amekuwa akimsaliti kila kukicha huku akihisi kuwa, huenda wanawake anaowafuata huko nje wanampa mapenzi kinyume na maumbile.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Lungi alisema kuwa siku chache zilizopita alilia sana kutokana na usaliti aliofanyiwa na mpenzi wake aliyemhifadhi kwa jina,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

PENZI LA SHUMILETA LAMTESA TX MOSHI JR

Brighton Masalu MAHABA niteketeze! Moshi William ‘Tx Moshi Jr’, mwimbaji wa Bendi ya Msondo Ngoma anaendelea kuwewesekea penzi la aliyekuwa mpenzi wake wa zamani ambaye pia ni msanii wa filamu Bongo, Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’. Moshi William ‘Tx Moshi Jr’, mwimbaji wa Bendi ya Msondo Ngoma. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar, Moshi alisema ingawa...

 

11 years ago

Michuzi

MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE YACHANGIA KANSA TANZANIA: DK NGOMA

Jumanne ijayo tarehe Nne Februari mwaka 2014, ni siku ya saratani duniani. Maudhui ya mwaka huu ni vunja fikra potofu kuhusu saratani. Maadhimisho haya yanakuja wakati ripoti mpya kuhusu mwelekeo wa saratani duniani ikisema ugonjwa huo unazidi kuenea nchi maskini ambako tiba ni changamoto,. Halikadhalika mfumo wa maisha unadaiwa kuwa mojawapo ya sababu za kuenea zaidi kwa ugonjwa huo. Assumpta Massoi katika makala hii ameangaziaTanzania, moja ya nchi zinazoendelea.

(Assumpta PKG)

...

 

10 years ago

GPL

PENZI LA JORDIN SPARKS BADO LAMTESA DERULO

Rapa Jason Derulo. New York, Marekani
RAPA Jason Derulo ameweka wazi kwamba amekuwa na wakati mgumu tangu aachane na kipenzi chake cha miaka mingi, Jordin Sparks ambaye pia ni staa wa muziki.Wawili hao wamekuwa kwenye uhusiano kwa kipindi cha miaka mitatu, kabla ya kuachana Septemba, mwaka jana. Rapa Jason Derulo akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Jordin Sparks.
Derulo ameweka wazi kuwa… ...

 

11 years ago

GPL

GONJWA LA AJABU LAMTESA

Stori: Makongoro oging’
Lawrent Lawrian, 42 (pichani), ni mkazi wa Kijiji cha Nyakisogo, Wilaya ya Biharamlo, mkoani Kagera, amekuwa mwenye huzuni na kukosa raha kwa muda wa miaka 35 kutokana na gonjwa la ajabu linalomtesa ambalo limemsababishia mambo mengi ikiwa ni pamoja na kutoendelea na masomo. Kijana Lawrent Lawrian, akiwa na uvimbe wa ajabu kichwani mwake. Gonjwa hilo la ajabu ni uvimbe kama nundu kichwani wenye...

 

10 years ago

Mtanzania

Jinamizi la Ukawa lamtesa Sitta

1...1..1.NA SARAH MOSSI, DODOMA
MAKADA wengine watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samuel Sitta, Profesa Sospeter Muhongo na Dk. Titus Kamani nao wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania nafasi ya urais.
Kujitosa kwa wanasiasa hao katika kinyang’anyiro hicho kunaifanya idadi ya makada wa chama hicho waliochukua fomu kufikia 13 hadi kufikia jana.

SITTA
Sitta, ambaye ni Waziri wa Uchukuzi, ndiye aliyekuwa wa pili kuchukua fomu hiyo kwa siku ya jana, akitanguliwa na Profesa Sospeter...

 

10 years ago

Mwananchi

Kurefusha maumbile ya wanaume

Juma lililopita tuliona sababu za wanaume kuwa na maumbile madogo ya uume. Leo tunaendelea sehemu ya pili, tutaona dondoo za kitafiti zenye kueleza ukweli wa maumbile ya uume.

 

11 years ago

Habarileo

Madhara ya kuongeza maumbile

NAIBU Waziri wa Afya, Dk Kebwe Stephen amesema amesikia baadhi ya madhara yanayotokea kwa kutumia dawa za kuongeza maumbile, husababisha wanawake kuwa na makalio yenye ukubwa tofauti na maumbile ya wanaume huwa kama mkufu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanaume mwenye maumbile ya ajabu

Mwanamume mmoja mwenye uume mbili, amezungumza na BBC kuhusu anavyoiishi na hali yake hio huku akihofia kujitambulisha

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama apinga ubadilishaji wa maumbile

Rais Barrack Obama amesema swala la kisaikolojia miongoni mwa vijana ili kubadilisha maumbile yao linafaa kukoma mara moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani