Obama apinga ubadilishaji wa maumbile
Rais Barrack Obama amesema swala la kisaikolojia miongoni mwa vijana ili kubadilisha maumbile yao linafaa kukoma mara moja.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
UFAFANUZI KUHUSU TUHUMA ZA UBADILISHAJI WA MATOKEO YA MITIHANI

UFAFANUZI KUHUSU TUHUMA ZA UBADILISHAJI WA MATOKEO YA MITIHANI
Utangulizi:
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa zilizoenea katika mitandao ya kijamii hususan Facebook na WhatsApp zilizoainishwa kama “Tuhuma Nzito katika Tasnia ya Sheria”. Kwa ufupi, tuhuma hizo zinadai kuwa baadhi ya Wahadhiri na Watumishi wa Taasisi hii wanafanya “biashara haramu” ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi sambamba na ubadilishaji wa matokeo ya mitihani, hususan Somo la Mirathi (Probate,...
10 years ago
Vijimambo09 Apr
Wasomali walalama kufungwa kwa mashirika kumi na tatu ya ubadilishaji wa sarafu za kigeni


Jamii ya wasomali nchini Kenya wamelalamikia vikali hatua ya serikali nchini humo kufunga mashirika kumi na tatu ya ubadilishaji wa sarafu za kigeni na usafirishaji pesa maarufu kama Hawala.
Malalamishi yao ni kuwa hatua hiyo itasababisha matatizo makubwa kwa wasomali ambao daima wanategemea njia hiyo, kuwatumia jamaa zao fedha kutoka mataifa ya kigeni.
Hatua hiyo...
11 years ago
Habarileo25 Jun
Madhara ya kuongeza maumbile
NAIBU Waziri wa Afya, Dk Kebwe Stephen amesema amesikia baadhi ya madhara yanayotokea kwa kutumia dawa za kuongeza maumbile, husababisha wanawake kuwa na makalio yenye ukubwa tofauti na maumbile ya wanaume huwa kama mkufu.
10 years ago
Mwananchi07 Aug
Kurefusha maumbile ya wanaume
Juma lililopita tuliona sababu za wanaume kuwa na maumbile madogo ya uume. Leo tunaendelea sehemu ya pili, tutaona dondoo za kitafiti zenye kueleza ukweli wa maumbile ya uume.
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Mwanaume mwenye maumbile ya ajabu
Mwanamume mmoja mwenye uume mbili, amezungumza na BBC kuhusu anavyoiishi na hali yake hio huku akihofia kujitambulisha
10 years ago
BBCSwahili16 Jul
Madhara ya madawa ya kuongeza maumbile
Suala la baadhi ya wasichana kutumia madawa ya kubadilisha maumbile mara nyingi linazua mijadala mikali kutokana na madhara yake.
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Je, kuongeza maumbile ya kiume ni salama
Ukijaribu kuwahoji wanaume walio wengi endapo wanatamani kuongeza maumbile yao ya uzazi, kwa maana ya urefu na upana, majibu mengi ni “ndiyo.â€
10 years ago
GPL
PENZI KINYUME NA MAUMBILE LAMTESA LUNGI
Msanii wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga. Stori:Laurent Samatta
MSANII wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga, amesema kuwa mpenzi wake amekuwa akimsaliti kila kukicha huku akihisi kuwa, huenda wanawake anaowafuata huko nje wanampa mapenzi kinyume na maumbile.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Lungi alisema kuwa siku chache zilizopita alilia sana kutokana na usaliti aliofanyiwa na mpenzi wake aliyemhifadhi kwa jina,...
11 years ago
Michuzi03 Feb
MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE YACHANGIA KANSA TANZANIA: DK NGOMA

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania