Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFAFANUZI KUHUSU TUHUMA ZA UBADILISHAJI WA MATOKEO YA MITIHANI

TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU TUHUMA ZA UBADILISHAJI WA MATOKEO YA MITIHANI
Utangulizi:
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa zilizoenea katika mitandao ya kijamii hususan Facebook na WhatsApp zilizoainishwa kama “Tuhuma Nzito katika Tasnia ya Sheria”. Kwa ufupi, tuhuma hizo zinadai kuwa baadhi ya Wahadhiri na Watumishi wa Taasisi hii wanafanya “biashara haramu”  ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi sambamba na ubadilishaji wa matokeo ya mitihani, hususan Somo la Mirathi (Probate,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Tume yatoa Ufafanuzi kuhusu ucheleweshwaji wa matokeo ya Urais

PIX 1

Makamu Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi  Bw.Hamid M. Hamid (wapili kushoto) akisoma matokeo ya wagombea nafasi ya Urais jana jijini Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu,anayemfuata kulia ni Mwenyekiti  wa Tume Jaji  Mstaafu Damian Lubuva.

PIX 2

Baadhi ya waandishi wa Habari wa Ndani na  Nje ya nchi wakifuatilia zoezi la kutangazwa kwa matokeo ya wagombea Urais  katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu jana katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam.

PIX 3

Msaidizi wa Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

NECTA yatoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne

Na Hellen kwavava
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyotangazwa Februari 21 mwaka huu ambayo ni viwango vya ufaulu, alama ya chini ya ufaulu na ufaulu wa jumla wa mtahiniwa.
Akitoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam Kaimu Katibu mtendaji wa Baraza hilo Dakta CHARLES MSONDE amesema viwango vya ufaulu ni makundi ya alama yanayopangwa ili kuweka pamoja...

 

10 years ago

Michuzi

UFAFANUZI KUHUSIANA NA TUHUMA ZA VITENDO VYA UNYAMA MGODINI.

KAMPUNI YA STAMIGOLDMGODI WA BIHARAMULO
TAARIFA KWA UMMA17 Februari, 2015.
Kampuni ya STAMIGOLD Biharamulo ambayo ni kampuni tanzu ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) inakanusha vikali taarifa zilizotolewa na mtandao wa kijamii unaojulikana kama Jamii Forums mnamo tarehe 15 Februari, 2015 kuwa kuna unyama wa kutisha uliofanyika Mgodi wa Dhahabu Biharamulo tarehe 26 Octoba, 2014.
Mgodi wa Stamigold Biharamulo unakanusha tuhuma zote za mauaji zilizotolewa na Jamii Forums kwani taarifa hizi ni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya Mitihani ya Ualimu iliyofanyika Mei 2014 yatangazwa rasmi

baraza la mitihani

Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Taifa la Mitihani, Dk. Charles E. Msonde akisoma matokeo hayo ya mitihani ya Ualimu kwa mitihani iliyofanyika mwaka huu nchini kote. 

Matokeo ya Mitihani ya Mei 2014 yanapatikana katika Tovuti zifuatazo:

www.matokeo.necta.go.tz, www.necta.go.tz   au  www.moe.go.tz  na www.pmoralg.go.tz

Press Release Ualimu Template 2014

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA CHUO CHA CBE ATOA UFAFANUZI KUHUSU HABARI ZILIZOCHAPISHWA KWA LENGO LA KUUPOTOSHA UMMA KUHUSU CHUO CHAKE

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu habari za upotoshaji zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii kuhusu chuo hicho, leo jijini Dar es salaam.
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.
Mkuu wa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema amesema kuwa habari zilizoandikwa na kuchapishwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LATOA UFAFANUZI JUU YA TUHUMA MBALI MBALI LINAZOTUPIWA

Hivi karibuni kumekuwa na tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii kuhusiana na kunyanyaswa, kutendewa vitendo visivyo vya kiungwana na kuteswa gerezani kwa Watuhumiwa wa Makosa ya Ugaidi kinyume na taratibu za Uendeshaji wa Magereza.
Kufuatia tuhuma hizo, Jeshi la Magereza Tanzania Bara limefanya uchunguzi kwa kufanya mazungumzo na Watuhumiwa wenyewe na wamekanusha tuhuma hizo dhidi ya Jeshi la Magereza. Ukweli ni kuwa taarifa hizo...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

BBCSwahili

Google yataka ufafanuzi kuhusu Udukuzi

Kampuni kubwa ya Google Imemtaka Rais Obama afafanue pendekezo lake la kuzuia baadhi ya udukuzi unaofanywa na idara ya ujasusi nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani