UFAFANUZI KUHUSIANA NA TUHUMA ZA VITENDO VYA UNYAMA MGODINI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-F7EIi5NehBo/VORhtX6GMzI/AAAAAAAHEVw/h6bzQRhEct8/s72-c/New%2BPicture.bmp)
KAMPUNI YA STAMIGOLDMGODI WA BIHARAMULO
TAARIFA KWA UMMA17 Februari, 2015.
Kampuni ya STAMIGOLD Biharamulo ambayo ni kampuni tanzu ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) inakanusha vikali taarifa zilizotolewa na mtandao wa kijamii unaojulikana kama Jamii Forums mnamo tarehe 15 Februari, 2015 kuwa kuna unyama wa kutisha uliofanyika Mgodi wa Dhahabu Biharamulo tarehe 26 Octoba, 2014.
Mgodi wa Stamigold Biharamulo unakanusha tuhuma zote za mauaji zilizotolewa na Jamii Forums kwani taarifa hizi ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Serikali ioneshe vitendo si kukana tuhuma tu
KWA mara nyingine tena ndani ya miezi tisa, taswira ya Tanzania imechafuka katika ramani ya dunia kuhusu biashara haramu ya ujangili wa Tembo, ambapo sasa inatuhumiwa kushirikiana na Serikali ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-aQo9r1HzapI/VUjIxPkkk7I/AAAAAAAHVgg/Y8TX9Cmyu6o/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-05%2Bat%2B4.36.19%2BPM.png)
UFAFANUZI KUHUSU TUHUMA ZA UBADILISHAJI WA MATOKEO YA MITIHANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-aQo9r1HzapI/VUjIxPkkk7I/AAAAAAAHVgg/Y8TX9Cmyu6o/s1600/Screen%2BShot%2B2015-05-05%2Bat%2B4.36.19%2BPM.png)
UFAFANUZI KUHUSU TUHUMA ZA UBADILISHAJI WA MATOKEO YA MITIHANI
Utangulizi:
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa zilizoenea katika mitandao ya kijamii hususan Facebook na WhatsApp zilizoainishwa kama “Tuhuma Nzito katika Tasnia ya Sheria”. Kwa ufupi, tuhuma hizo zinadai kuwa baadhi ya Wahadhiri na Watumishi wa Taasisi hii wanafanya “biashara haramu” ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi sambamba na ubadilishaji wa matokeo ya mitihani, hususan Somo la Mirathi (Probate,...
10 years ago
MichuziPOLISI WAMUHOJI DK. SLAA KWA SAA SITA KUHUSIANA NA TUHUMA ZA KUTAKA KUWEKEWA SUMU NA MLINZI WAKE
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-AzTwqXxWns8/VB1Q7NTLdpI/AAAAAAAGkwQ/JVBHfXYsqDU/s72-c/Untitled.jpg)
JESHI LA MAGEREZA LATOA UFAFANUZI JUU YA TUHUMA MBALI MBALI LINAZOTUPIWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-AzTwqXxWns8/VB1Q7NTLdpI/AAAAAAAGkwQ/JVBHfXYsqDU/s1600/Untitled.jpg)
Kufuatia tuhuma hizo, Jeshi la Magereza Tanzania Bara limefanya uchunguzi kwa kufanya mazungumzo na Watuhumiwa wenyewe na wamekanusha tuhuma hizo dhidi ya Jeshi la Magereza. Ukweli ni kuwa taarifa hizo...
9 years ago
StarTV04 Jan
Ukosefu wa vyombo vya ufuatiliaji vitendo vya unyanyasaji  bado ni changamoto
Licha ya kuwepo kwa sheria ya kumlinda mtoto dhidi ya unyanyasaji imebainika kuwa kuna tatizo kubwa la kukosekana kwa vyombo maalumu vya ufuatiliaji wa vitendo hivyo kuanzia ngazi ya majumbani ili kuwabaini wanaotenda makosa hayo na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Vitendo vya unyanyasaji vimekuwa vikibomoa msingi imara ambao watoto wanahitaji ili wawe na afya bora na maisha yenye tija lakini pia vinasigana na haki ya msingi ya watoto kuishi salama utotoni.
Pamoja na kudaiwa kupungua kwa...
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
THBUB yalaani mauaji na vitendo vya ukatili wa viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi!
Mtoto Mlemavu wa Ngozi (Albino) Adam Robert (13) wakati akiwa amelazwa hospitalini baada ya kujeruhiwa na kwa kukatwa mkono na kisha kunyofolewa Vidole sita vya mikono yote miwili,picha hii ilipigwa siku moja tu baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya ya Geita. (Maktaba;Picha hii ilipigwa Oktoba 14 mwaka 2011).
Press Release_Albino Kukatwa Viungo by moblog
10 years ago
Habarileo06 Apr
Paroko wa RC akemea vitendo vya rushwa
PAROKO wa Kanisa Katoliki (RC) , Parokia ya Masasi jimbo la Tunduru-Masasi mkoani Mtwara, Dominick Mkapa amekemea vitendo vya rushwa vinavyofanywa na baadhi ya watu waliopewa mamlaka serikalini mazingira yanayochangia kuwepo kwa mikataba mingi isiyo na tija kwa taifa letu.
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Facebook kupambana na vitendo vya kujiua
10 years ago
BBCSwahili27 May
Wafahamu washukiwa wa vitendo vya rushwa