Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yaya aliyemtesa mtoto UG aomba msamaha

Mfanyakazi wa nyumbani aliyenaswa kwenye kanda ya video akimchapa na kumkanyaga mtoto nchini Uganda, ameomba msamaha kwa kosa hilo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AOMBA SAMAHANI

Jolly Tumuhirwe akimtesa mtoto Arnella. HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amefikishwa mahakamani leo. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe ameiambia mahakama kuwa anajutilia kile alichokifanya na anaomba msamaha. Ameshitakiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella.
Licha ya taarifa ya polisi kusema Jolly atashitakiwa kwa kosa la jaribio la mauaji, kiogozi wa mashitaka alimshitaki Jolly kwa kosa la...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanye West aomba Msamaha

Kanye West ametekeleza matakwa ya kesi iliyokuwa ikimkabilia ya kumpiga paparazi.

 

9 years ago

Mtanzania

Jason Derulo aomba msamaha

Jason DeruloCHRISTOPHER MSEKENA

NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Jason Derulo, ameomba msamaha kwa mashabiki wake wa Afrika Kusini mara baada ya kutamka maneno yaliyotafsiriwa kuwa ni dharau kwa waliohudhuria onyesho lake.

Mkali huyo aliwauliza mashabiki wake kama wanajua Kiingereza ‘Y, all speak English, right?’ , maneno yaliyozua vurugu kwenye onyesho hilo lililoambatana na utolewaji wa tuzo za Afrika Kusini maarufu kama ANN7 zilizofanyika usiku wa jana huko Johannesburg.

“Sikujua kama naweza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndugu ya Adebayor aomba msamaha

Ndugu ya mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Emmanuel Adebayor ameomba msamaha baada ya nyota huyo kumshtumu katika mtandao wa facebook

 

11 years ago

Habarileo

Mwanamke aliyemtesa mtoto atupwa jela miaka 3

MWANAMKE mkazi wa Kata ya Iyela jijini hapa, Mwanahawa Nassoro (32) amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kunyanyasa na kumtesa mtoto. Mwanamke huyo alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Mbeya mjini jana, akikabiliwa na shitaka la kumtesa mtoto, John Paul (3) ambaye ni mtoto wa kaka yake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Gervinho aomba msamaha kwa kadi nyekundu

Mchezaji wa Ivory Coast Gervinho ameomba msamaha baada ya kupewa kadi nyekundu kwa kumpiga mlinzi wa timu ya Guinea Naby Keita

 

9 years ago

BBCSwahili

Sanders aomba msamaha kumdukua Hillary Clinton

Bernie Sanders amekiri na kuomba msamaha kwa Bi Hillary Clinton kwa kudukua taarifa za upigaji kura zilizoandaliwa na kampeini yake

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA

 Jolly Tumuhirwe (22). HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo. Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima. Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella… ...

 

10 years ago

GPL

BOBBY BROWN AOMBA MSAMAHA KWA KUSAHAU MASHAIRI

Mwanamuziki wa kimataifa wa R&B, Bobby Brown. GEORGIA, Marekani
MWANAMUZIKI wa kimataifa wa R&B, Bobby Brown hivi karibuni aliwaomba msamaha mashabiki waliohudhuria kwenye tamasha lake huko Atlanta, Georgia baada ya kusahau mashairi ya wimbo aliokuwa anaimba hali iliyosababisha yeye na madensa wake kupishana jukwaani. Bobby hakuonekana kabisa mwenye furaha katika tamasha hilo ambalo ni la pili kufanya tangu Januari… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani