Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga SC yamkataa msaidizi wa Maximo

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umekataa mapendekezo ya kocha mkuu wa timu hiyo, Marcio Maximo juu ya msaidizi wake ambaye anahisi anaweza kuelewana naye kwa kuwa wamewahi kufanya kazi pamoja. Habari za uhakika ambazo zimefika mezani kwenye gazeti hili, zinaeleza kuwa, Maximo alipendekeza uongozi wa klabu hiyo umpe ajira Kocha wa KMKM ya Zanzibar, Ali Bushiri,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Yanga yapiga ramli msaidizi wa Mkwasa

UONGOZI wa Yanga bado unaendelea kufanya utafiti wa kumtafuta mbadala wa Charles Mkwasa kwa ajili ya kusaidiana na Kocha Mkuu Hans Pluijm (pichani) kukinoa kikosi hicho.

 

10 years ago

Mtanzania

Maximo: Nawaangalia tu Yanga

???????????????????????????????

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na Kocha Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo amesema anawaangalia na kuwasikiliza viongozi wa timu hiyo ambao hadi sasa hawajampa barua ya kuvunja mkataba wake.
Kwa sasa, Maximo yupo katika hali ya sintofahamu kutokana na wiki nzima hii magazeti mbalimbali kuripoti juu ya klabu ya Yanga kumtema bila kumpa barua yoyote mpaka sasa.
Kocha huyo aliyejizolea sifa wakati akiwa na Timu ya Taifa ya...

 

11 years ago

TheCitizen

Maximo says Yanga are going places

He might have stayed with the team for two weeks only, but Young Africans head coach Marcio Maximo, is optimistic that the Jangwani Street outfit is going places.

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga will be like TP Mazembe, says Maximo

Former National soccer team, Taifa Stars head coach, Marcio Maximo, has said his task ahead is to make Young Africans Sports Club a strong side like TP Mazembe of the Democratic Republic of Congo (DRC).

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo awaadabisha wavivu Yanga

Kocha wa Yanga, Mbrazili Marcio Maximo amewaadabisha wachezaji wavivu kwa kuwapa adhabu ya kukimbia kuzunguka uwanja kwa saa nzima.

 

11 years ago

GPL

Maximo atangaza vikosi 2 Yanga

Na Mwandishi Wetu
KOCHA Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo, anaendelea kuiandaa timu yake kwa ajili ya msimu mpya, lakini ameamua kutengeneza vikosi viwili. Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo, Ingawa amekuwa akifanya siri, katika mazoezi ya Yanga, Maximo ameamua kutengeneza vikosi viwili ambavyo vitaifanya Yanga kuwa na uhakika kwa msimu mzima. “Kocha amefanya uchunguzi wa kila kitu ikiwa ni pamoja na kuangalia wachezaji wa...

 

10 years ago

GPL

Maximo amtaja Boban Yanga SC

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
JINA la kiungo mchezeshaji wa zamani wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ limetajwa kwenye usajili wa dirisha dogo na Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Usajili huo wa dirisha dogo unatarajiwa kufunguliwa Novemba 15, mwaka huu na kufungwa Desemba 15.
Maximo, hivi karibuni alitangaza kuongeza viungo wawili pekee katika usajili huo katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maximo awatisha wachezaji Yanga

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema hana nafasi kwa nyota wenye majina makubwa wasiojituma na kusema ni heri abaki na wachache wenye kujituma na kutambua wajibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani