Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo amtaja Boban Yanga SC

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
JINA la kiungo mchezeshaji wa zamani wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ limetajwa kwenye usajili wa dirisha dogo na Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Usajili huo wa dirisha dogo unatarajiwa kufunguliwa Novemba 15, mwaka huu na kufungwa Desemba 15.
Maximo, hivi karibuni alitangaza kuongeza viungo wawili pekee katika usajili huo katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Boban arejea kuwavaa Yanga

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Nicodemus Jonas
KIUNGO mtukutu wa Coatal Union, Haruna Moshi ‘Boban’, amerejea uwanjani baada ya kuukosa mchezo dhidi ya JKT Oljoro wikiendi iliyopita kutokana na kusumbuliwa na malaria. Boban alikuwa akisumbuliwa na malaria tangu kikosi hicho kilipokuwa nchini Oman kwa kambi ya wiki mbili, hata hivyo tayari amepata matibabu na leo huenda akawa kwenye orodha, iwapo kocha Yusuf...

 

10 years ago

Mtanzania

Maximo: Nawaangalia tu Yanga

???????????????????????????????

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na Kocha Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo amesema anawaangalia na kuwasikiliza viongozi wa timu hiyo ambao hadi sasa hawajampa barua ya kuvunja mkataba wake.
Kwa sasa, Maximo yupo katika hali ya sintofahamu kutokana na wiki nzima hii magazeti mbalimbali kuripoti juu ya klabu ya Yanga kumtema bila kumpa barua yoyote mpaka sasa.
Kocha huyo aliyejizolea sifa wakati akiwa na Timu ya Taifa ya...

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga will be like TP Mazembe, says Maximo

Former National soccer team, Taifa Stars head coach, Marcio Maximo, has said his task ahead is to make Young Africans Sports Club a strong side like TP Mazembe of the Democratic Republic of Congo (DRC).

 

11 years ago

TheCitizen

Maximo says Yanga are going places

He might have stayed with the team for two weeks only, but Young Africans head coach Marcio Maximo, is optimistic that the Jangwani Street outfit is going places.

 

10 years ago

GPL

Maximo aificha Yanga Kahama

Kocha Mkuu Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Stand United, Yanga inayofundishwa na Kocha Mkuu Mbrazili, Marcio Maximo, imeweka kambi yake Wilaya ya Kahama, Shinyanga. Akizungumza na Championi Jumatatu, Ofisa Habari wa Yanga, Baraka Kizuguto, alisema wanatarajia kuweka kambi hiyo kati ya siku mbili hadi tatu, kujiandaa na mechi ya Kagera Sugar kabla ya kuelekea Kagera....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga, Maximo wafikia patamu

KOCHA mpya wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, anatarajiwa kusaini mkataba mwishoni mwa wiki kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Twiga na Jangwani jijini...

 

11 years ago

GPL

Yanga yampa Maximo wachezaji 60

Kocha Mbrazili, Marcio Maximo. Na Mwandishi Wetu
KOCHA anayetarajiwa kujiunga na Yanga kama mambo yatakwenda vizuri, atapewa takribani wachezaji 60 wawe chini ya himaya yake. Uongozi wa Yanga kupitia kamati yake ya mashindano, umechukua uamuzi wa kumkabidhi Maximo timu kubwa pamoja na ile ya vijana chini ya miaka 20.
Uamuzi huo unatokana na historia ya Maximo ambaye alikuza vijana wengi wakati akiwa kocha wa timu ya taifa,...

 

10 years ago

Vijimambo

Maximo awaomba radhi Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga,Mbrazil Marcio MaximoKocha Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo ameawaomba radhi wanachama na mashabiki wa Yanga baada ya timu yake kuanza vibaya msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Kikianza na wachezaji wanne wa kimataifa, Wanyaruanda Haruna Nyinzoma na Mbuyu Twite, Mganda Hamis Kizza na Mbrazil Genilson Santos Santana ‘Jaja’, Kikosi cha Yanga kilijikuta kikikubali kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya timu isiyo na mchezaji hata mmoja wa kimataifa, Mtibwa...

 

10 years ago

TheCitizen

SOCCER: Pluijm in, Maximo out at Yanga

>Former Young Africans head coach Johannes Franciscus, well known in Dar soccer circles  as ‘Hans’ Van der Pluijm has arrived in the country to discuss a deal with the Jangwani club.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani