Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boban arejea kuwavaa Yanga

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Nicodemus Jonas
KIUNGO mtukutu wa Coatal Union, Haruna Moshi ‘Boban’, amerejea uwanjani baada ya kuukosa mchezo dhidi ya JKT Oljoro wikiendi iliyopita kutokana na kusumbuliwa na malaria. Boban alikuwa akisumbuliwa na malaria tangu kikosi hicho kilipokuwa nchini Oman kwa kambi ya wiki mbili, hata hivyo tayari amepata matibabu na leo huenda akawa kwenye orodha, iwapo kocha Yusuf...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Maximo amtaja Boban Yanga SC

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
JINA la kiungo mchezeshaji wa zamani wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ limetajwa kwenye usajili wa dirisha dogo na Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Usajili huo wa dirisha dogo unatarajiwa kufunguliwa Novemba 15, mwaka huu na kufungwa Desemba 15.
Maximo, hivi karibuni alitangaza kuongeza viungo wawili pekee katika usajili huo katika...

 

11 years ago

GPL

YANGA KUWAVAA WACOMORO JUMAMOSI

Wawakilishi wa Tanzania bara kwenye mashindano ya klabu Bingwa barani Afrika timu ya Young Africans itashuka dimbani siku ya jumamosi kuivaa timu ya Komorozine de Domoni ya Visiwa vya Comoro katika mchezo wa hatua ya awali ya Klabu Bingwa barani Afrika. Young Africans itashukda dimbani kuhakikisha inaendeleza wimbi la ushindi kufuatia kupata ushindi katika mchezo wa mwisho dhidi ya timu ya Mbeya City mchezo ambao ulikuwa ni...

 

11 years ago

GPL

MAZOEZI YA MWISHO YA YANGA KABLA YA KUWAVAA AL AHLY LEO SAA 2 USIKU

Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika Young Africans Sports Club wakifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa El Max Haras El Hodod jijini Alexandria tayari kwa mchezo marudiano kati ya mabingwa watetezi Al Ahly leo saa 2 usiku. (PICHA NA SALEH ALLY / GPL,…

 

10 years ago

Mwananchi

Cannavaro arejea Yanga

Beki wa kati ambaye ni nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anarudi uwanjani kuivaa Polisi Morogoro na kuahidi kuwapa raha mashabiki wao, lakini Mnyarwanda Mbuyu Twite bado hajaweza kurudi uwanjani.

 

10 years ago

Mwananchi

Ngassa arejea Yanga kiaina

Mshambuliaji Mrisho Ngassa aliyesajiliwa na klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini hivi karibuni, jana aliibuka katika mazoezi ya timu yake ya zamani Yanga.

 

9 years ago

Mtanzania

Niyonzima arejea kuongeza makali Yanga

harunaaNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Haruna Niyonzima, amerejea kuiongezea makali timu hiyo baada ya kuikosa mechi ngumu dhidi ya Azam FC iliyochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita.

Jumamosi iliyopita Yanga ilijikuta ikipunguzwa na kasi na Azam katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Kiungo huyo raia wa Rwanda ambaye ni tishio Ligi Kuu na injini ya kikosi cha Yanga kutokana na umahiri wake wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani