Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA KUWAVAA WACOMORO JUMAMOSI

Wawakilishi wa Tanzania bara kwenye mashindano ya klabu Bingwa barani Afrika timu ya Young Africans itashuka dimbani siku ya jumamosi kuivaa timu ya Komorozine de Domoni ya Visiwa vya Comoro katika mchezo wa hatua ya awali ya Klabu Bingwa barani Afrika. Young Africans itashukda dimbani kuhakikisha inaendeleza wimbi la ushindi kufuatia kupata ushindi katika mchezo wa mwisho dhidi ya timu ya Mbeya City mchezo ambao ulikuwa ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yateketeza Wacomoro

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, jana walianza kwa kishindo kampeni ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwachakaza Komorozine kutoka mji wa Domoni, Comoro mabao 7-0 katika mechi ya kwanza...

 

11 years ago

GPL

WASOMALI KUCHEZESHA YANGA, WACOMORO

Kikosi cha timu ya Yanga SC. CAF imeteua waamuzi kutoka Somalia kuchezesha mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Komorozine Sports ya Comoro. Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya mchujo itafanyika jijini Dar es Salaam kati ya Februari 7 na 9 mwaka huu wakati ile ya marudiano itachezwa kisiwani Comoro kati ya Februari 14 na 16 mwaka huu.
Mwamuzi wa kati atakuwa Hassan Mohamed Hagi wakati wasaidizi wake ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wanoa makali kuwanyoa Wacomoro

KOCHA msaidizi wa  mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara na wawakilishi katika michuano ya kimataifa, Yanga, Charles Mkwasa, amesema kwa sasa anakomaa na safu ya ushambuliaji kabla ya kushuka dimbani...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wacomoro hoi kwa Yanga, walala 7-0

Yanga ya Tanzania imewafunga Komorozine ya Comoro mabao 7-0 katika mchezo wa awali wa kuwania kombe la klabu bingwa Afrika

 

11 years ago

GPL

Boban arejea kuwavaa Yanga

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Nicodemus Jonas
KIUNGO mtukutu wa Coatal Union, Haruna Moshi ‘Boban’, amerejea uwanjani baada ya kuukosa mchezo dhidi ya JKT Oljoro wikiendi iliyopita kutokana na kusumbuliwa na malaria. Boban alikuwa akisumbuliwa na malaria tangu kikosi hicho kilipokuwa nchini Oman kwa kambi ya wiki mbili, hata hivyo tayari amepata matibabu na leo huenda akawa kwenye orodha, iwapo kocha Yusuf...

 

11 years ago

GPL

MAZOEZI YA MWISHO YA YANGA KABLA YA KUWAVAA AL AHLY LEO SAA 2 USIKU

Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika Young Africans Sports Club wakifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa El Max Haras El Hodod jijini Alexandria tayari kwa mchezo marudiano kati ya mabingwa watetezi Al Ahly leo saa 2 usiku. (PICHA NA SALEH ALLY / GPL,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani