Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASOMALI KUCHEZESHA YANGA, WACOMORO

Kikosi cha timu ya Yanga SC. CAF imeteua waamuzi kutoka Somalia kuchezesha mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Komorozine Sports ya Comoro. Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya mchujo itafanyika jijini Dar es Salaam kati ya Februari 7 na 9 mwaka huu wakati ile ya marudiano itachezwa kisiwani Comoro kati ya Februari 14 na 16 mwaka huu.
Mwamuzi wa kati atakuwa Hassan Mohamed Hagi wakati wasaidizi wake ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yateketeza Wacomoro

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, jana walianza kwa kishindo kampeni ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwachakaza Komorozine kutoka mji wa Domoni, Comoro mabao 7-0 katika mechi ya kwanza...

 

11 years ago

GPL

YANGA KUWAVAA WACOMORO JUMAMOSI

Wawakilishi wa Tanzania bara kwenye mashindano ya klabu Bingwa barani Afrika timu ya Young Africans itashuka dimbani siku ya jumamosi kuivaa timu ya Komorozine de Domoni ya Visiwa vya Comoro katika mchezo wa hatua ya awali ya Klabu Bingwa barani Afrika. Young Africans itashukda dimbani kuhakikisha inaendeleza wimbi la ushindi kufuatia kupata ushindi katika mchezo wa mwisho dhidi ya timu ya Mbeya City mchezo ambao ulikuwa ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wanoa makali kuwanyoa Wacomoro

KOCHA msaidizi wa  mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara na wawakilishi katika michuano ya kimataifa, Yanga, Charles Mkwasa, amesema kwa sasa anakomaa na safu ya ushambuliaji kabla ya kushuka dimbani...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wacomoro hoi kwa Yanga, walala 7-0

Yanga ya Tanzania imewafunga Komorozine ya Comoro mabao 7-0 katika mchezo wa awali wa kuwania kombe la klabu bingwa Afrika

 

10 years ago

GPL

Adui wa Yanga kuchezesha mechi ya watani

Mwamuzi  Israel Mujuni Nkongo. Khadija Mngwai na Wilbert Molandi
MECHI kubwa katika Ligi Kuu ya Bara kati ya timu kongwe pinzani nchini, Simba na Yanga, inatarajiwa kupigwa Oktoba 18, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, gumzo ni kubwa lakini tayari Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtaja mwamuzi atakayesimama katikati siku hiyo. Mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara inasubiriwa kwa hamu na habari ni kuwa, mwamuzi wa siku hiyo ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomali, kuzihukumu Yanga, Azam

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka Somalia na Sudan kuchezesha mechi ya  Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Komorozine na ile ya Kombe  la ShirikishoAfrika kati ya  Azam FC dhidi ya Ferroviario Da Beira.

 

9 years ago

Habarileo

Waamuzi 16 kuchezesha Mapinduzi

JUMLA ya waamuzi 16 na makamishna wanne wanatarajiwa kuchezesha michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza keshokutwa mjini hapa.

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic: Kocha Hans funga Wacomoro hao

Kocha wa Simba, Zdavco Logarusic ‘Loga’ amemtakia kila la kheri  mwenzake wa Yanga, Hans Van Der Pluijm kwa kushinda mchezo wa leo dhidi ya Komorozine.

 

11 years ago

Michuzi

MKENYA OGWAYO KUCHEZESHA STARS, BURUNDI

Mwamuzi Anthony Ogwayo mwenye beji ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kutoka Kenya ndiye atakayechezesha mechi kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Burundi (Intamba Mu Rugamba) itakayochezwa keshokutwa (Aprili 26 mwaka huu)  Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ogwayo katika mechi hiyo ya maadhimisho ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, atasaidiwa na Gilbert Cheruiyot na Oliver Odhiambo wote pia kutoka Kenya. Mwamuzi wa mezani atakuwa Israel Mujuni wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani