Wasomali, kuzihukumu Yanga, Azam
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka Somalia na Sudan kuchezesha mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Komorozine na ile ya Kombe la ShirikishoAfrika kati ya Azam FC dhidi ya Ferroviario Da Beira.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Nkongo kuzihukumu Yanga, Azam
NA MWALI IBRAHIM NA JULIET MORI (TUDARCO)
MWAMUZI Israel Nkongo anayetambulika na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), anatarajiwa kuamua mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Azam na Yanga, utakaochezwa Jumamosi hii, Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Nkongo ana historia kubwa na mechi hiyo kwani aliwahi kuchezesha mechi ya ligi ya miamba hiyo Machi 2012, lakini mchezo huo ulioishuhudia Azam ikitoka kifua mbele kwa kushinda 3-1, ulimalizika kwa Nkongo kupata mkong’oto kutoka kwa wachezaji wa Yanga,...
11 years ago
GPLWASOMALI KUCHEZESHA YANGA, WACOMORO
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Kaya 50 zachomewa nyumba, watu 2,000 waamua kuzihukumu
9 years ago
Habarileo03 Nov
Ni Yanga na Azam
MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.
9 years ago
Habarileo22 Aug
Yanga, Azam usihadithiwe
AZAM FC ina kibarua kigumu cha kufuta uteja kwa Yanga katika mechi za Ngao ya Jamii wakati zitakapomenyana leo katika mechi ya kufungua msimu wa 2015-16 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
9 years ago
TheCitizen23 Aug
Yanga down Azam on penalties
11 years ago
TheCitizen08 Feb
Go on and cheer us up, Yanga and Azam!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/udqKvOQQNZzoefi8APyM5Pvhz8EeqHprCm3F7PrKgz9BNqO3j6RPZei4abn3TeTSNp8GgGcKkZvy7-StP6Mf-pg-v1925RKh/yanga.gif?width=650)
Yanga yaivurugia Azam