Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaya 50 zachomewa nyumba, watu 2,000 waamua kuzihukumu

Kaya zaidi ya 50 za Kijiji cha Kansay, Wilaya ya Karatu, hazina mahala pa kuishi baada ya nyumba zao kuchomwa moto.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  leo limesaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya ya Ujenzi wa Nyumba 5,000 za gharama nafuu. Utiaji saini makubaliano hayo umefanyika leo mchana katika Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Wabunge wanaotoka Mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)  Mhe.Prof Mark Mwandosya, ambaye Wilaya hiyo Mpya iko katika Jimbo lake la Rungwe Mashariki,  na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Kaya 5,000 za Mbozi kuwezeshwa kiuchumi

Kaya 5,000 za wakulima na wafugaji katika Kata za Isansa na Igamba, wilayani Mbozi zitaingia kwenye mfumo maalumu wa uchumi utakaohusisha ufugaji ng’ombe wa maziwa kwa lengo kupambana na umaskini.

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaua watu watatu, kaya zaidi ya 70 zakosa makazi

Watu watatu wamefariki dunia na familia zaidi ya 70 zimekosa mahala pa kuishi, huku mifugo zaidi ya 150 ikisadikiwa kufa baada ya kukumbwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Arumeru mkoani Arusha.     

 

5 years ago

AnandTech

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19  AnandTechView Full coverage on Google News

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAJA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA KAYA KWA KAYA

 Mwakilishi wa Kaimu Mkuruegenzi Mkuu wa NHIF, Eugen Mikongoti akifungua kikao kilichowashirikisha wenyeviti wa bodi na makatibu wa Vituo Vya Afya, Zahanati na Hospitali wa Manispaa ya Temeke juu ya mpango wa bima ya afya kwa kayo iliyofanyika leo jijni Dar es Salaam. Meneja wa Mkoa wa Temeke wa NHIF, Costantino Makala akitoa maada katika kikao hicho leo latika ukumbi wa Temeke jijini Dra es Salaam.wa katikati ni Mwakilishi wa Kaimu Mkuruegenzi Mkuu wa NHIF,Eugen Mikongoti Kushoto ni Mganga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafuriko yazamisha nyumba 7,000

WAKAZI 7,000 wa kata tatu, Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro hawana makazi baada ya nyumba zao zinazokadiriwa kufikia 2,500 kumezwa na maji kutokana na mafuriko huku nyingine zikisombwa na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kaya 19 zilizopo katika mpango wa kunusuru kaya maskini zakosa malipo yao Manyoni

SAM_0215

Baadhi ya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini wa Kijiji cha Sukamahela, tarafa ya Kilimatinde waliokosa malipo yao licha ya kuwa na taarifa na fomu za kupokelea malipo hayo, na kujikuta wakikaa kwa muda wa zaidi ya saa tano wakisubiri kuitwa wakapokee malipo hayo.

SAM_0229

Mwenyekiti wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Stephen Chilewa Mgusi (wa kwanza kutoa kulia), Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Ernesti Gyunda Kitundu (wa pili kutoka kulia) na Mwezeshaji wa TASAF wilaya ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Nyumba 3,000 Dar zawekwa alama ya X

Ardhi-6RUTH MNKENI NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM

ZOEZI la uwekaji wa alama ya X katika nyumba zilizojengwa  mabondeni jana liliendelea, huku nyumba  zaidi ya 3,000 zilizojengwa katika Bonde la Mto Msimbazi ziliwekewa X tayari kwa ajili ya kubomolewa.

Tangu kuanza kwa zoezi hilo la uwekaji wa alama hiyo katika  nyumba zilizojengwa kando ya mto na kwenye hifadhi ya bahari, zaidi ya nyumba 5,000 zimeshawekewa  X.

Kutokana na idadi hiyo huwenda nyumba zaidi ya 8,000 zikakumbwa na bomoabomoa...

 

10 years ago

Habarileo

Wakazi 2,000 Bagamoyo kujengewa nyumba

WAKAZI 2,080 wa maeneo ya Pande na Mlingotini wametangaziwa neema ya kujengewa nyumba za kuishi baada ya maeneo yao kuchukuliwa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani