Nkongo kuzihukumu Yanga, Azam
NA MWALI IBRAHIM NA JULIET MORI (TUDARCO)
MWAMUZI Israel Nkongo anayetambulika na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), anatarajiwa kuamua mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Azam na Yanga, utakaochezwa Jumamosi hii, Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Nkongo ana historia kubwa na mechi hiyo kwani aliwahi kuchezesha mechi ya ligi ya miamba hiyo Machi 2012, lakini mchezo huo ulioishuhudia Azam ikitoka kifua mbele kwa kushinda 3-1, ulimalizika kwa Nkongo kupata mkong’oto kutoka kwa wachezaji wa Yanga,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Wasomali, kuzihukumu Yanga, Azam
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Nkongo kushika kipenga mechi ya Simba, Yanga
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Nkongo awapigia chapuo vibendera
MWAMUZI bora wa Ligi Kuu 2013/14, Israel Nkongo, amewataka wadhamini wa ligi hiyo, Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom, kuwatazama na waamuzi wasaidizi katika utoaji tuzo hizo....
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Kaya 50 zachomewa nyumba, watu 2,000 waamua kuzihukumu
9 years ago
Habarileo03 Nov
Ni Yanga na Azam
MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.
10 years ago
Habarileo30 Jul
Yanga, Azam patachimbika
YANGA na Azam zinakutana leo kwenye mechi ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Azam FC, Yanga vitani
10 years ago
Habarileo11 Aug
Yanga, Azam zapaniana
MABINGWA wa Tanzania Yanga na wale wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, Azam FC wamejichimbia kwa ajili ya mechi ya Ngao ya Jamii itakayofanyika Agosti 22 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.