Niyonzima arejea kuongeza makali Yanga
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Haruna Niyonzima, amerejea kuiongezea makali timu hiyo baada ya kuikosa mechi ngumu dhidi ya Azam FC iliyochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita.
Jumamosi iliyopita Yanga ilijikuta ikipunguzwa na kasi na Azam katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kiungo huyo raia wa Rwanda ambaye ni tishio Ligi Kuu na injini ya kikosi cha Yanga kutokana na umahiri wake wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Aug
Azam kuongeza makali Zanzibar
MABINGWA wa Kombe la Kagame, Azam FC itaondoka Jumapili kwenda kisiwani Zanzibar kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara inayotazamia kuanza Septemba 12.
10 years ago
TheCitizen18 Sep
Yanga stronger than ever, says Niyonzima
9 years ago
Habarileo29 Dec
Niyonzima kwaheri Yanga
KLABU ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na mchezaji wake Haruna Niyonzima baada ya kudaiwa kuvunja sheria na taratibu za muajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Jerry Muro kwa vyombo vya habari jana, Niyonzima pia atatakiwa kuilipa klabu hiyo dola za Marekani 71,175 kufidia gharama ambazo imezitumia katika kumuongezea mkataba wake mpaka mwaka 2017.
9 years ago
Habarileo15 Dec
Niyonzima aichefua Yanga
KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesema amekasirishwa na kitendo cha mchezaji wake Haruna Niyonzima kuchelewa kuungana na wenzake kwa ajili ya michezo ya ligi huku akishindwa kabisa kutoa sababu zilizomfanya kuchelewa huko.
10 years ago
GPLNiyonzima awazimia Yanga simu
9 years ago
TheCitizen04 Oct
Niyonzima happy with Yanga form
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Yanga yasajili kiboko ya Niyonzima
Mshambuliaji, Issofou Boubacar.
Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofikia tamati Desemba 15, mwaka huu, Yanga imesajili wachezaji wawili tu, straika Paul Nonga na kiungo mshambuliaji, Issofou Boubacar ili kujiimarisha.
Haruna Niyonzima.
Lakini jana Ijumaa asubuhi katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Yanga ilianza kumfanyia majaribio kiungo Sina Jerome aliyetokea Rayon Sports ya Rwanda.
Yanga inafanya hivyo ili kujiridhisha kuhusu uwezo wa...
9 years ago
Habarileo25 Dec
Niyonzima sasa kujieleza Yanga
KATIBU Mkuu wa Yanga Dk Jonas Tiboroha, amesema uongozi wa klabu hiyo umemtaka kiungo wake Mnyarwanda Haruna Niyonzima kujieleza kwa maandishi kwanini asichukuliwe hatua kwa utovu wa nidhamu alioonesha.
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Yanga yavunja mkataba na Niyonzima