Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Niyonzima happy with Yanga form

Young Africans midfield kingpin Haruna Niyonzima is impressed with the Jangwani Street heavyweights’ run of form that has seen them sit on top of the Vodacom Premier League table after five games into the new season.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Niyonzima aichefua Yanga

KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesema amekasirishwa na kitendo cha mchezaji wake Haruna Niyonzima kuchelewa kuungana na wenzake kwa ajili ya michezo ya ligi huku akishindwa kabisa kutoa sababu zilizomfanya kuchelewa huko.

 

10 years ago

TheCitizen

Yanga stronger than ever, says Niyonzima

Young Africans midfield kingpin Haruna Niyonzima believes his team now has the firepower to mount a sustained assault on the Vodacom Premier League title.

 

9 years ago

Habarileo

Niyonzima kwaheri Yanga

KLABU ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na mchezaji wake Haruna Niyonzima baada ya kudaiwa kuvunja sheria na taratibu za muajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Jerry Muro kwa vyombo vya habari jana, Niyonzima pia atatakiwa kuilipa klabu hiyo dola za Marekani 71,175 kufidia gharama ambazo imezitumia katika kumuongezea mkataba wake mpaka mwaka 2017.

 

9 years ago

Habarileo

Niyonzima sasa kujieleza Yanga

KATIBU Mkuu wa Yanga Dk Jonas Tiboroha, amesema uongozi wa klabu hiyo umemtaka kiungo wake Mnyarwanda Haruna Niyonzima kujieleza kwa maandishi kwanini asichukuliwe hatua kwa utovu wa nidhamu alioonesha.

 

10 years ago

GPL

Niyonzima awazimia Yanga simu

Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima. Omary Mdose na Mohammed Mdose
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amegeuka mbogo na kutangaza hadharani kuwa atamchukulia adhabu kali kiungo wake, Haruna Niyonzima, ambaye mpaka sasa hajatua nchini kujiunga na kikosi cha timu hiyo, huku simu yake ikiwa haipatikani. Yapata mwezi sasa tangu kikosi cha Yanga kianze mazoezi yake ya kujiandaa na michuano ya Ligi Kuu Bara na ile ya kimataifa...

 

9 years ago

Mwananchi

Niyonzima aitishia nyau Yanga

Kiungo Haruna Niyonzima ameipa Yanga siku nne kubadili uamuzi wa kumfukuza na baada ya hapo ataanika ukweli wa mgogoro wake na klabu hiyo.

 

9 years ago

Global Publishers

Yanga yasajili kiboko ya Niyonzima

issoufou-boubacar2Mshambuliaji, Issofou Boubacar.

Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofikia tamati Desemba 15, mwaka huu, Yanga imesajili wachezaji wawili tu, straika Paul Nonga na kiungo mshambuliaji, Issofou Boubacar ili kujiimarisha.

NIYONZIMANEW4Haruna Niyonzima.

Lakini jana Ijumaa asubuhi katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Yanga ilianza kumfanyia majaribio kiungo Sina Jerome aliyetokea Rayon Sports ya Rwanda.
Yanga inafanya hivyo ili kujiridhisha kuhusu uwezo wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Yanga yavunja mkataba na Niyonzima

NIYONZIMANEW4Haruna Niyonzima. Klaubu ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa kutoka nchini Rwanda Haruna Niyonzima kutokana na utovu wa nidhamu ikiwemo kuchelewa kuripoti kambini na kutoipa kipaumbele klabu yake. Nahodha huyo wa Rwanda alichelewa kurejea kwenye klabu yake mara baada ya kumalizika kwa fainali za michuano ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CEFAFA Challenge Cup) iliyofanyika nchini Ethiopia. Afisa Habari wa Yanga, Jerry Muro amewaambia Waandishi wa Habari...

 

9 years ago

Mtanzania

Niyonzima: Sitailipa Yanga chochote

harunaaNA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

* Adaiwa sh. milioni 152 kwa kukiuka masharti ya mkataba wake

MCHEZAJI Haruna Niyonzima ambaye mkataba wake umevunjwa na klabu yake ya Yanga kwa kile kilichodaiwa kuchoshwa na tabia zake, amedai kuwa hatalipa kiasi cha Dola 71,175 (sawa na Sh milioni 152) kwani suala hilo halipo kwenye mkataba.

Uongozi wa Yanga jana ulitangaza kuvunja mkataba wa mchezaji huyo mahiri wa nafasi ya kiungo, lakini mbali na uamuzi huo klabu hiyo pia ilimtaka mchezaji huyo kuilipa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani