Maximo aificha Yanga Kahama
![](http://api.ning.com:80/files/MBtHLqmI6t2kQkt2YFhIxb6aW7EcVJInKVBkzpEB0XD1UtEMQY5bivHZPRIxQ9UbsW-75OYj3U5Zaxfe-0Qn2ryWSYUkIg75/shafiipdf.jpg)
Kocha Mkuu Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Stand United, Yanga inayofundishwa na Kocha Mkuu Mbrazili, Marcio Maximo, imeweka kambi yake Wilaya ya Kahama, Shinyanga. Akizungumza na Championi Jumatatu, Ofisa Habari wa Yanga, Baraka Kizuguto, alisema wanatarajia kuweka kambi hiyo kati ya siku mbili hadi tatu, kujiandaa na mechi ya Kagera Sugar kabla ya kuelekea Kagera....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 Dec
Maximo: Nawaangalia tu Yanga
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na Kocha Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo amesema anawaangalia na kuwasikiliza viongozi wa timu hiyo ambao hadi sasa hawajampa barua ya kuvunja mkataba wake.
Kwa sasa, Maximo yupo katika hali ya sintofahamu kutokana na wiki nzima hii magazeti mbalimbali kuripoti juu ya klabu ya Yanga kumtema bila kumpa barua yoyote mpaka sasa.
Kocha huyo aliyejizolea sifa wakati akiwa na Timu ya Taifa ya...
11 years ago
TheCitizen01 Jul
Yanga will be like TP Mazembe, says Maximo
11 years ago
TheCitizen14 Jul
Maximo says Yanga are going places
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbafai*V-2B6PdOIEsoAGrXWwEAW8yQC27FMH7CRtljs5HZcb8QuxBTg7UzXp9NkWosYFVKCSEiSPTK9D43mMRvVq/11.jpg?width=650)
MAXIMO ACHOTA SH 371M YANGA
11 years ago
Mwananchi27 Jun
KARIBU YANGA: Maximo kuunguruma
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5vBx3EI3-TGuACKeOvsYpeaLp78LUG2WoHOSqEnmfEkh2NkgnQswYI6HQGNutsPoez3VwKjpI5NcNnr0SQayROBU5WrZWUsJ/1.jpg)
Yanga SC yamkataa msaidizi wa Maximo
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Yanga, Maximo wafikia patamu
KOCHA mpya wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, anatarajiwa kusaini mkataba mwishoni mwa wiki kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Twiga na Jangwani jijini...
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Maximo amleta Coutinho Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75p8jdyZcIW07*D1psi6mmIfqBfZIkjXhehcoDJcKJ3KJp2h9nbWcPUxfwOzsvASsXs6wyB9G0luBue*GxIQX117/YANGA1.jpg?width=650)
Yanga yampa Maximo wachezaji 60