Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kagame kugombea muhula wa tatu, Marekani yalaani

BN-CL122_RWANDA_G_20140418150011

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema atawania muhula wa tatu wa Urais baada ya wananchi kupigia kura rasimu ya katiba inayomruhusu kufanya hivyo.

BN-CL122_RWANDA_G_20140418150011

Akihutubia taifa hilo siku ya mwaka mpya, Kagame alidai kuwa uamuzi wake huo umetokana na chaguo la wananchi wake.

Wananchi wa Rwanda waliipigia kura rasimu ya katiba hiyo December 18 kumruhusu Kagame, 58, kuwania tena muhula mwingine wa urais mwaka 2017 wenye miaka saba.

Katiba hiyo itamruhusu kuwania tena mihula mingine miwili ya miaka kumi hadi...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kagame atangaza atawania muhula wa tatu

Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba atawania urais kwa muhula wa tatu baada ya muhula wake wa sasa kumalizika 2017.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapinzani wapinga muhula wa 3 wa Kagame

Wapinzani wa rais wa Rwanda Paul Kagame wameshtumu mapendekezo ya kuifanyia mabadiliko katiba ili kumruhusu kuwania muhula wa tatu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bunge lamwezesha Kagame kuwania muhula wa 3

Bunge la Senate la Rwanda limeidhinisha marekebisho katika katiba yatakayomuwezesha rais Paul Kagame kugombea urais kwa muhula wa tatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni watu 10 pekee wanaopinga muhula wa 3 wa Kagame

Maafisa nchini Rwanda wanasema kwamba baada ya mashauriano ya kitaifa ni watu kumi tu wanaompinga rais Kagame kuwania muhula wa tatu.

 

9 years ago

StarTV

Watu 10 pekee wapinga muhula wa 3 wa Kagame.


Kagame

Maafisa nchini Rwanda wanasema kwamba baada ya mashauriano ya kitaifa ni watu kumi tu wanaompinga rais Kagame kuwania muhula wa tatu.

Gazeti la New Times lililo karibu na serikali linasema kati ya watu milioni mbili walioshauriwa kuhusu kufanyia katiba mageuzi ni watu kumi tu waliopinga fikra hiyo.

Katiba inasema rais anapaswa kuhudumu kwa mihula miwili pekee.

Wachambuzi wanasema raia wengi wa Rwanda huenda wameogopa kupinga pendekezo hilo.

Rais Kagame amehudumu madarakani tangu...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANAHARAKATI WA BURUNDI AOMBA MKUTANO WA KESHO WA MARAISI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUTOMRUHUSU RAIS NKURUNZIZA KUTOGOMBEA MUHULA WA TATU

 Mwenyekiti wa Chama cha UPD-Zigamimbaga, ambaye pia ni mwanaharakati wa vuguvugu la maandamano nchini Burundi, Mugwengezo Chauvineau. 
 Mwenyekiti wa Chama cha UPD-Zigamimbaga, ambaye pia ni mwanaharakati wa vuguvugu la maandamano nchini Burundi, Mugwengezo Chauvineau (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mvutano wa kisiasa dhidi ya rais wa nchi hiyo ambapo amewataka viongozi wa nchi za Afrika Mashariki wanaokutana leo jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yalaani mauaji ya mwandishi

Rais Barack Obama wa Marekani amesema mauaji ya mwandishi wa habari James Foley yameishtua dunia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yalaani ICC kuhusu Israel

Marekani imelaani hatua ya mahakama ya kimaitaifa ya uhalifu wa kivita ICC kuanzisha uchunguzi dhidi ya Israel

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani