Upinzani wapinga matokeo ya uchaguzi Guinea
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Guinea amejiondoa katika uchaguzi uliofanyika nchini humo akisema kuwa kulikuwa na udanganyifu mkubwa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Upinzani wakataa matokeo ya uchaguzi Guinea
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Upinzani wapinga mamlaka ya waziri
Na Fredy Azzah, Dodoma
Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, wamepinga vifungu vya Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania ya mwaka 2015, vinavyompa mamlaka waziri ya kuingilia uteuzi wa viongozi huku wakisema kufanya hivyo ni sawa na shirika la umma.
Akiwasilisha maoni ya Kambi Upinzani bungeni, Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Joseph Mbilinyi, alisema ni vyema vijana wakaachiwa wenyewe kazi ya kuchagua viongozi wao.
“Baada ya kuchambua kwa kina muswada huu...
9 years ago
Mwananchi18 Nov
Ukawa wapinga hotuba ya rais bila matokeo ya Z’bar
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
Upinzani wakataa matokeo Msumbiji
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.
10 years ago
Habarileo25 Dec
Upinzani wapiga hatua matokeo serikali za mkitaa
SERIKALI imetangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na vitongoji, uliofanyika hivi karibuni, ikiwa pamoja na ule wa viporo, ambapo yanaonesha kuwa vyama vya upinzani vimefanya vizuri.
10 years ago
Habarileo25 Dec
Upinzani wapiga hatua matokeo serikali za mitaa
SERIKALI imetangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na vitongoji, uliofanyika hivi karibuni, ikiwa pamoja na ule wa viporo, ambapo yanaonesha kuwa vyama vya upinzani vimefanya vizuri.
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.
Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.
5 years ago
BBCSwahili26 May
Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani