Upinzani wapiga hatua matokeo serikali za mkitaa
SERIKALI imetangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na vitongoji, uliofanyika hivi karibuni, ikiwa pamoja na ule wa viporo, ambapo yanaonesha kuwa vyama vya upinzani vimefanya vizuri.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Dec
Upinzani wapiga hatua matokeo serikali za mitaa
SERIKALI imetangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na vitongoji, uliofanyika hivi karibuni, ikiwa pamoja na ule wa viporo, ambapo yanaonesha kuwa vyama vya upinzani vimefanya vizuri.
9 years ago
BBCSwahili26 Dec
Wanajeshi wa Iraq wapiga hatua dhidi ya IS
11 years ago
Habarileo15 Jan
Mradi wa mabasi yaendayo kasi wapiga hatua
MRADI wa mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umepiga hatua nyingine baada ya kupatikana kampuni ya washauri, itakayofanya kazi ya kuhakikisha wanapatikana watoa huduma muhimu kwa mradi huo, unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu.
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
Upinzani wakataa matokeo Msumbiji
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Upinzani wakataa matokeo ya uchaguzi Guinea
9 years ago
BBCSwahili15 Oct
Upinzani wapinga matokeo ya uchaguzi Guinea
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
ZEC: Maalim Seif anapaswa kuchuliwa hatua za kisheria kwa kutangaza matokeo
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema imesikitishwa na kitendo cha mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kujitangazia ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili tarehe 25 Oktoba, 2015 na imevitaka vyombo vinavyosimamia utii wa sheria kumchukulia hatua kiongozi huyo wa CUF.
“kitendo cha Maalim Seif kujitangaza mshindi amevunja kifungu cha 42 (5) cha sheria ya mwaka 1984 ambacho kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kuwa chombo pekee chenye mamlaka hayo” Mwenyekiti...
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
UN yalaumu Serikali na upinzani Burundi
11 years ago
BBCSwahili07 Jul
Upinzani washinikiza serikali Kenya