Ukawa wataka Maalim Seif awe makamu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimependekeza kwamba Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Shariff Hamad, anapaswa kuwa mgombea mwenza wa Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Raia Mwema linafahamu.
Hata hivyo, pendekezo hilo limekataliwa na chama anachotoka Maalim Seif, yaani Chama cha Wananchi (CUF), kwa maelezo kwamba muda wa kujadili mambo hayo haujafika bado.
Gazeti hili linafahamu pia kwamba pendekezo hilo la Chadema liliwasilishwa kwanza na Mwenyekiti wa Chadema,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Oct
UVCCM wataka Maalim Seif na wenzake wapuuzwe
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) amewataka wananchi kupuuza na kutowasikiliza wanasiasa wapotoshaji wa mambo akiwemo Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, badala yake waisome kwa utulivu, umakini na kuzingatia Katiba Inayopendekezwa.
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Maalim Seif: Ukawa ngangari
![maalim seif sharif hamad](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/maalim-seif-sharif-hamad-300x200.jpg)
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad
Na Silvan Kiwale, Dar es Salaam
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), uko palepale licha ya kujiuzulu uenyekiti kwa Profesa Ibrahim Lipumba.
Kauli hiyo aliitoa jana jioni alipokuwa akizungumza na mamia ya wanachama na wapenzi wa chama hicho waliofurika katika Ofisi za makao maku ya CUF Buguruni jijini Dar es Salaam.
Alisema pamoja katika siasa kuna...
11 years ago
Habarileo25 Apr
'Maalim Seif warejeshe UKAWA bungeni'
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha CUF, Seif Sharrif Hamad ametajwa tena bungeni akitakiwa kuwaambia kundi la wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) waliotoka bungeni, warudi.
9 years ago
CHADEMA BlogMAALIM SEIF AZUGUMZA NA BALOZI WA EU NA VIONGOZI WA UKAWA
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Maalim Seif: Wanaotaka kuua Ukawa mtakwama
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TAMWA
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA KWANZA WA RAIS, MAALIM SEIF AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AWATEMBELEA WAGONJWA NA WAFIWA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-msxFU5zy2yQ/U6swdrE662I/AAAAAAAFs8M/2Y5nnEKOhQE/s72-c/unnamed+(1).jpg)
MAALIM SEIF, PROFESA LIPUMBA WAPETA TENA UCHAGUZAI WA CUF, JUMA HAJI DUNI MAKAMU MWENYEKITI