Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAALIM SEIF AZUGUMZA NA BALOZI WA EU NA VIONGOZI WA UKAWA

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na viongozi wa UKAWA baada ya kikao cha mashauriano kilichofanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam. Na Hassan Hamad, OMKRKatibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amerejea kauli yake ya kutotambua kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika tarehe 25 mwezi uliopita.Akizungumza na waandishi wa habari

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Balozi Seif amponda Maalim Seif

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Balozi Seif Idd ametangaza vita kwa mtu yeyote anayepanga njama za kuvuruga mchakato wa Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

10 years ago

Mtanzania

Maalim Seif: Ukawa ngangari

maalim seif sharif hamad

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad

Na Silvan Kiwale, Dar es Salaam

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), uko palepale licha ya kujiuzulu uenyekiti kwa Profesa Ibrahim Lipumba.

Kauli hiyo aliitoa jana jioni alipokuwa akizungumza na mamia ya wanachama na wapenzi wa chama hicho waliofurika katika Ofisi za makao maku ya CUF Buguruni jijini Dar es Salaam.

Alisema pamoja katika siasa kuna...

 

11 years ago

Habarileo

'Maalim Seif warejeshe UKAWA bungeni'

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha CUF, Seif Sharrif Hamad ametajwa tena bungeni akitakiwa kuwaambia kundi la wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) waliotoka bungeni, warudi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Balozi Seif: Tumegundua ‘janja’ ya Maalim

Balozi Seif Ali Iddi, akihutubia mkutano wa kampeni Bungi, wilaya kati, Unguja. Monday, September 21, 2015 Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya CCM, Balozi Seif Ali Iddi amesema CCM imegundua kuwa upotoshaji anaoufanya Katibu Mkuu wa […]

The post Balozi Seif: Tumegundua ‘janja’ ya Maalim appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ATETA NA PAC BALOZI

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi wa fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi (PAC), Ofisini kwake Migombani. Mwenyekiti wa Kamati ya Ukaguzi wa fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi (PAC), Mhe. Omar Ali Shehe, akizungumza wakati kamati yake ilipokutana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif, Balozi Idd wachimbana

MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd na Makamu wa Kwanza, Maalim Seif Sharif Hamad, wameingia katika vita ya maneno kuhusu rasimu ya katiba, masuala ya Muungano...

 

11 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Wanaotaka kuua Ukawa mtakwama

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad amesema juhudi zinazofanywa kuusambaratisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hazitafanikiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Ukawa wataka Maalim Seif awe makamu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimependekeza kwamba Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Shariff Hamad, anapaswa kuwa mgombea mwenza wa Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Raia Mwema linafahamu.
Hata hivyo, pendekezo hilo limekataliwa na chama anachotoka Maalim Seif, yaani Chama cha Wananchi (CUF), kwa maelezo kwamba muda wa kujadili mambo hayo haujafika bado.
Gazeti hili linafahamu pia kwamba pendekezo hilo la Chadema liliwasilishwa kwanza na Mwenyekiti wa Chadema,...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif akutana na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, alipofika ofisini kwake Migombani kwa mazungumzo. Kulia ni ofisa wa ubalozi Philippe Boncour. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, ofisini kwake Migombani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani