Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif: Ukawa ngangari

maalim seif sharif hamad

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad

Na Silvan Kiwale, Dar es Salaam

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), uko palepale licha ya kujiuzulu uenyekiti kwa Profesa Ibrahim Lipumba.

Kauli hiyo aliitoa jana jioni alipokuwa akizungumza na mamia ya wanachama na wapenzi wa chama hicho waliofurika katika Ofisi za makao maku ya CUF Buguruni jijini Dar es Salaam.

Alisema pamoja katika siasa kuna...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

'Maalim Seif warejeshe UKAWA bungeni'

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha CUF, Seif Sharrif Hamad ametajwa tena bungeni akitakiwa kuwaambia kundi la wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) waliotoka bungeni, warudi.

 

10 years ago

Vijimambo

Ukawa wataka Maalim Seif awe makamu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimependekeza kwamba Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Shariff Hamad, anapaswa kuwa mgombea mwenza wa Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Raia Mwema linafahamu.
Hata hivyo, pendekezo hilo limekataliwa na chama anachotoka Maalim Seif, yaani Chama cha Wananchi (CUF), kwa maelezo kwamba muda wa kujadili mambo hayo haujafika bado.
Gazeti hili linafahamu pia kwamba pendekezo hilo la Chadema liliwasilishwa kwanza na Mwenyekiti wa Chadema,...

 

11 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Wanaotaka kuua Ukawa mtakwama

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad amesema juhudi zinazofanywa kuusambaratisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hazitafanikiwa.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MAALIM SEIF AZUGUMZA NA BALOZI WA EU NA VIONGOZI WA UKAWA

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na viongozi wa UKAWA baada ya kikao cha mashauriano kilichofanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam. Na Hassan Hamad, OMKRKatibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amerejea kauli yake ya kutotambua kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika tarehe 25 mwezi uliopita.Akizungumza na waandishi wa habari

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA UKAWA KUHUSU KUUNGA MKONO USHINDI WA MAALIM SEIF KWENYE UCHAGUZI WA ZANZIBAR

Ndugu Watanzania wenzangu Kama nilivyo waambia Viongozi Wakuu wa UKAWA walikaa juzi kutafakari hali ya kisiasa nchini na hususan Zanzibar na matukio yaliyoandamana na Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktober mwaka huu. Wakuu wa UKAWA kwa kauli moja walikariri tamko lao la kumuunga mkono kwa dhati, Mh. Maalim Seif Sharif Hamad kwa ushindi wake dhahiri na kuitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA ngangari

LICHA ya kupigwa marufuku ya kufanya mikutano yake mkoani Kigoma, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umesema utaendelea na mikutano yake mkoani humo kama walivyopanga. Kauli hiyo ya UKAWA, inatokana...

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Seif amponda Maalim Seif

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Balozi Seif Idd ametangaza vita kwa mtu yeyote anayepanga njama za kuvuruga mchakato wa Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Shein na Maalim Seif

Halmashauri Kuu ya CCM imempitisha Dk Ali Mohamed Shein kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa awamu ya pili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif amtega JK

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanaweza kurudi bungeni iwapo Rais Jakaya Kikwete atawahakikishia kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani