Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais aipasua kichwa Ukawa 2015

Baada ya vyama vinne vya upinzani nchini kusaini makubaliano ya kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote zijazo, umoja huo sasa unakabiliwa na kazi ngumu ya kuweka sawa mambo, ikiwa ni pamoja na mchakato wa kumpata mgombea urais, kabla ya filimbi ya uchaguzi kupulizwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Lipumba aipasua kichwa CUF

WANACHAMA wa Chama cha Wananchi (CUF) jana walimbana Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba wakimtaka kueleza ukweli juu ya taarifa zinazodai kuwa amejiuzulu wadhifa huo.

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa sasa pasua kichwa

LICHA ya agizo la Rais Jakaya Kikwete la kuwataka viongozi wa vyama vya siasa na wafuasi wao, wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA), kuacha kususa na kurejea katika vikao vya Bunge Maalumu la Katiba ili kuendelea na mchakato huo, kufikia jana hakukuwa na mwelekeo wa kulegeza msimamo wao.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa wataka kichwa cha Muhongo

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umelitaka Bunge kuiwajibisha Serikali ikiwa Rais Jakaya Kikwete atashindwa kutekeleza maazimio ya Bunge ikiwamo kumng’oa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

 

10 years ago

Habarileo

Majimbo yapasua kichwa wana-Ukawa

Mwenyekiti wa Ukawa, Profesa Ibrahim Lipumba.HATIMA ya kuachiana kwa majimbo ya uchaguzi kwa vyama vya siasa vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), inatarajiwa kujulikana wiki ijayo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati Kuu CCM yakuna kichwa kuikabili Ukawa

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakina haja wala mpango wa kuzungumza na wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), waliosusia Bunge la Katiba, badala yake watashughulika nao mitaani kwa kujibu mapigo yao.

 

9 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi Duniani 2015, yafana MOI

Meneja Ustawi wa Jamii na Mahusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Jumaa Almasi akizungumza kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo  Dk, Othman Kiloloma wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi Duniani 2015, aliomba kuitumia siku hiyo kwa kusheherekea siku hiyo adhim amabayo nisiku maalum kwa sababu vijana wetu ambao tunawaongelea leo hi kwetu sisi ni wagonjwa kwa maana yakwamba Tiba yao yote kwa...

 

10 years ago

GPL

MIKE SANGU AIPASUA NDOA YA DAVINA

Gladness Mallya
NI SHIDA! Msanii wa filamu Bongo, Michael Sangu ‘Mike’ anadaiwa kuipasua ndoa ya muigizaji mwenzake, Halima Yahya ‘Davina’ na mumewe Abdallah Shakoor baada ya kutuhumiwa kutembea na msichana huyo mwenye watoto watatu. Msanii wa filamu Bongo, Michael Sangu ‘Mike’. Chanzo makini kililiambia Risasi Mchanganyiko kuwa kufuatia tuhuma hizo za muda mrefu, Shakoor anadaiwa kufika...

 

5 years ago

Michuzi

KHERI JAMES AIPASUA NGOME YA CHADEMA ROMBO.



************************************Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Komred Kheri James amepasua ngome ya Upinzania katika Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kwa Kupokea Viongozi mbalimbali wa Chama Hicho.Viongozi walio pokelewa leo ni Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Rombo ndg Athuman...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani