Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtu mwenye silaha akamatwa Ufaransa

Mtu aliyekuwa amejihami vikali ameshindwa nguvu na abiria kwenye treni moja ya mwendo wa kasi nchini Ufaransa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MTE MWENYE SILAHA AZIDI KUWASHIKILIA MATEKA KWENYE MGAHAWA JIJINI SYDNEY

Polisi wakimpokea mmoja wa mateka kutoka katika mgahawa wa Lindt jijini Sydney. MTU mmoja mwenye silaha bado anaendelea kuwashikilia wafanyakazi na wateja katika mgahawa wa Lindt uliopo jijini Sydney nchini Australia. Mateka ndani ya mgahawa huo wakiwa wameshika bendera yenye maandishi ya Kiarabu. Baadhi ya watu ndani ya jengo hilo wameonekana kupitia madirisha wakiwa wamebeba bendera nyeusi zenye maneno ya… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja amechinjwa Ufaransa

Mtu mmoja amechinjwa na mwengine akajeruhiwa vibaya baada ya shambulizi la kiislamu katika mji wa Lyon Ufaransa.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Sangoma akamatwa na kichwa cha mtu


Na Abdallah Amiri, Igunga
WAKATI kamatakamata ya waganga wa kienyeji ikiendelea kupamba moto katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, mmoja amenaswa akiwa na viungo vya binadamu, kikiwemo kichwa ambacho bado kilikuwa na nywele zake.
Mganga huyo, Nyamizi Makunga (70), mkazi wa Kijiji cha Igurubi wilayani Igunga, Tabora, alitiwa mbaroni juzi. Mbali na viungo hivyo, pia alikutwa na vifaa vingine, zikiwemo nyara za serikali.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Igurubi, George Henry, alisema Makunga alikamatwa nyumbani...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA UBUNGE AKAMATWA NA SILAHA ZA KIJADI KWA AJILI YA KUFANYIA VURUGU WAKATI WA UCHAGUZI MKOANI SHINYANGA



 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidiziJustus Kamugisha akionesha moja ya mapanga yaliyokamatwa na jeshi la polisi  yanadaiwa kuwa yaliandaliwa kwa ajili ya kufanya vurugu wakati na baada ya uchaguzi mkuu 2015.Picha na Kadama Malunde-Malunde1 BlogVipande vya nondo na mapanga yanayodaiwa kuwa ni ya mgombea ubunge jimbo la Solwa mkoani Shinyanga Jeremia Mshandete wa Chadema, ni miongoni mwa silaha za jadi zilizokatwa ambazo zinadaiwa kuwa ziliandaliwa kwa ajili ya...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KISHAPU SULEIMAN NCHAMBI AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA SILAHA 10, RISASI 536 NA NYAMA 'UWINDAJI HARAMU'




Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba akionesha kwa waandishi wa habari silaha alizokamatwa nazo mbunge wa Jimbo la Kishapu Suleiman Masoud Suleiman 'Suleiman Nchambi'.


Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman Nchambi (CCM) kwa tuhuma za kupatikana na silaha 10, risasi 536 na nyama zinazodhaniwa kuwa ni za wanyawapori kinyume...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mwenye umri mkubwa duniani afariki

Mtu aliyekuwa na umri mkubwa duniani kutoka nchini Japan amefariki wiki kadhaa baada ya kusherehekea miaka 117 tangu azaliwe.

 

10 years ago

GPL

MTU MWEUSI ALIYEBAGULIWA KWENYE TRENI UFARANSA ATAKA HAKI

Mtu mweusi, Souleymane S. (kushoto) akijiandaa kupanda treni la chini ya ardhi la jijini Paris, Ufaransa. Souleymane S. akisukumwa na mashabiki wa Chelsea ambao…

 

10 years ago

CloudsFM

Young Thug akamatwa kwa kosa la kutishia kumpiga mtu risasi.

Rapper kutoka Atlanta, Young Thug amewekwa chini ya ulinzi mapema siku ya jana huko Sandy Springs, Georgia baada ya kutishia kumpiga risasi mlinzi wa mall.

July 7, Jeffrey Williams au Young Thug alifanya vurugu  kwenye mall hiyo   “ upscale Perimeter Mall” ambapo alitishia kumpiga risasi ya uso mlinzi aliyekua akimtoa nje.

Young thug ni mmoja ya wasanii watakovaa steji ya tuzo za “MTV MAMA” Jumamosi hii.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Afisa aliyetemewa mate na mtu mwenye Covid-19 afariki

Bibi Belly Mujinga alitemewa mate akiwa kazini na mtu aliyedai kuwa ana maambukizi ya virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani