Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Virusi vya corona: Afisa aliyetemewa mate na mtu mwenye Covid-19 afariki

Bibi Belly Mujinga alitemewa mate akiwa kazini na mtu aliyedai kuwa ana maambukizi ya virusi vya corona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mfahamu mwanamke aliyebaini virusi vya corona kabla ya Covid-19

June Almeida alikuwa bingwa wa ugunduzi wa virusi, lakini alikuwa amesahaulika mpaka mlipuko wa corona ulipoibuka ndio akakumbukwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi damu ya mtu aliyepona corona inavyoweza kuwa tiba

Matumaini ni kwamba molekyuli walizozitengeneza zitasaidia kupambana na virusi vilivyo kwa wengine.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mama yake meneja wa Manchester City Pep Gardiola afariki kutokana na corona

Mama yake Meneja wa timu ya Manchester City Pep Guardiola, amefariki dunia mjini Barcelona akiwa na umri wa miaka 82 baada ya kupata maambukizi ya virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yatangaza visa 28 zaidi vya maambukizi ya Covid-19

Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya imepanda hadi kufikia jumla ya watu 649 Jumamosi, baada ya kutangazwa kwa matokeo chanya vya virusi katika sampuli za watu 28 miongoni mwa waliopimwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je roboti zinatumika vipi kwenye vituo vya Covid-19 Rwanda?

Rwanda imesema kuwa tayari inatumia roboti katika kuzuwia maambukizi ya virusi vya corona kwenye vituo vya ugonjwa huo

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: ''Muuaji wa mwanangu mwenye pumu hastahili kufa gerezani''

Mwanamke mmoja nchini Argentina ameiandikia barua mamlaka ya nchi yake kumsaidia kumuachia huru muuaji wa mtoto wake kwa sababu anaumwa pumu hivyo gerezani ni sehemu hatari kwake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Covid -19 ilivyobadilisha utamaduni wa waafrika

Mwanahabari Joseph Warungu anaangazia vile virusi vya corona vimebadilisha maisha ya Wakenya kuanzia kujifungua hadi kifo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani