Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUKU AKISAKWA KUMPASUA KICHWA MTU TID AMPIGA MENEJA WAKE

ISSA MNALLY PEPO la ugomvi linazidi kumuandama staa wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID’, baada ya kusakwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumjeruhi mtu mwishoni mwa wiki iliyopita, msanii huyo ametengeneza kicha cha habari kwa mara nyingine akidaiwa kumpiga meneja wake aliyefahamika kwa jina la Tall Mnyama. Staa wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID’. Katika tukio la awali, TID alidaiwa kutembeza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Mariah Carey ampiga chini aliyekuwa meneja wake Jermaine Dupri, nafasi yake imezibwa na Kevin Liles

Mwimbaji Mariah Carey amempiga chini aliyekuwa meneja , producer na mshkaji wake wa muda mrefu Jermaine Dupri aka JD ambaye alikuwa kwenye timu yake ya uongozi. Mariah Carey na JD Inadaiwa kuwa mauzo mabovu ya album mpya ya Mariah Carey iitwayo ‘Me. I Am Mariah…The Elusive Chanteuse’ ambayo imeuza nakala 103,000 tu toka ilivyotoka May […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

10 years ago

Habarileo

Afumania na kumpasua tumbo mgoni wake

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariPOLISI mkoani Katavi inamshikilia mkazi wa kitongoji cha Ntumba, kijiji cha Mnyengele wilayani Mpanda, Deogratius Pastory (30) kwa kumjeruhi vibaya mkewe kwa kumkata mkono wake wa kushoto na kupasua tumbo la mpenzi wa mkewe kwa panga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Cheka mbaroni, ampiga mtu baa

JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia bingwa wa ngumi za kulipwa duniani, Francis Cheka ‘SMG’ kwa tuhuma za kumchapa Meneja wa baa ya Vijana Social Hall iliyopo Kata ya Sabasaba,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Sangoma akamatwa na kichwa cha mtu


Na Abdallah Amiri, Igunga
WAKATI kamatakamata ya waganga wa kienyeji ikiendelea kupamba moto katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, mmoja amenaswa akiwa na viungo vya binadamu, kikiwemo kichwa ambacho bado kilikuwa na nywele zake.
Mganga huyo, Nyamizi Makunga (70), mkazi wa Kijiji cha Igurubi wilayani Igunga, Tabora, alitiwa mbaroni juzi. Mbali na viungo hivyo, pia alikutwa na vifaa vingine, zikiwemo nyara za serikali.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Igurubi, George Henry, alisema Makunga alikamatwa nyumbani...

 

10 years ago

GPL

MUMEWA MTU SUMU HUKU KUTWA UNACHAT NAYE!

MJINI kuna maneno mengi kweli yanasemwa, kila siku linazaliwa jipya. Lakini mara zote, kinachoendelea ni kujifariji tu. Eti mara utasikia mjini hakuna wazee kila mtu baby, wapiii. Wazee wapo wengi sana, sema tu wanajitoa ufahamu. Kati ya mambo yanayojadiliwa sana mitaani, hasa inapotokea mtu amefumaniwa ni ile kwamba mke au mume wa mtu ni sumu. Hivi ni kweli jamani ni sumu? Moja kati ya ahadi muhimu sana ya uandishi...

 

10 years ago

Mtanzania

Kada CCM ampiga katibu wake

NA ELIYA MBONEA, SIMANJIRO
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Kata ya Endiamtu Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Issa Katuga anadaiwa kumpiga ngumi na mateke Katibu wa chama hicho, Salimu Kombo baada ya kumtuhumu kugoma kuidhinisha matumizi ya Sh bilioni moja kwa ajili ya kwenda kulipa madeni.
Tukio hilo linadaiwa kutokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ofisi za CCM za kata hiyo, baada ya Mwenyekiti Katunga kumtuhumu katibu wake kuwa amegoma kuidhinisha fedha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbwa ampiga risasi mmiliki wake !

Mwanamke mmoja mmiliki wa mbwa huko Marekani amelazimika kupokea matibabu baada ya jibwa lake kufyatua bastola na kumjeruhi mguu

 

10 years ago

Habarileo

Ndugai ampiga mpinzani wake fimbo kichwani

MCHAKATO wa kura za maoni ya Ubunge katika Jimbo la Kongwa, juzi uliingia dosari baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai anayeomba ridhaa ya kutetea ubunge wake kudaiwa kumpiga hadi kuzirai mgombea mwenzake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani