Ndugai ampiga mpinzani wake fimbo kichwani
MCHAKATO wa kura za maoni ya Ubunge katika Jimbo la Kongwa, juzi uliingia dosari baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai anayeomba ridhaa ya kutetea ubunge wake kudaiwa kumpiga hadi kuzirai mgombea mwenzake.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Baba mzazi ampiga kichanga cha mwezi kwa mchi kichwani, ni katika ugomvi
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-kyz-u24gDlY/VbjGOWIKdOI/AAAAAAABS4k/i7vBFSYO4TM/s72-c/mtia%2Bnia.jpg)
NAIBU SPIKA JOB NDUGAI AMPIGA MGOMBEA MWENZIE
![](http://3.bp.blogspot.com/-kyz-u24gDlY/VbjGOWIKdOI/AAAAAAABS4k/i7vBFSYO4TM/s640/mtia%2Bnia.jpg)
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/sdf.jpg)
NAIBU SPIKA JOB NDUGAI AMPIGA MGOMBEA MWENZIE HADI KUZIMIA
9 years ago
Mtanzania19 Oct
Lukuvi ambeza mpinzani wake
NA RAYMOND MINJA, IRINGA
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ismani kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), William Lukuvi, amembeza mpinzani wake anayegombea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Patrick Sosopi, kuwa hawezi kuvaa viatu vyake.
Kauli hiyo aliitoa mjini hapa juzi wakati akiwahutubia wananchi wa vijiji vya Igingilanyi, Kising’a, Matembo na Ilambilole vilivyopo Isimani.
Alisema viatu vyake havimtoshi pia hana staha ya kuwashawishi wananchi kuwaletea maendeleo na...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-XebGRlUrV2Y/ViCL2Ma9aLI/AAAAAAAAAXU/l9RcaBo8Lnw/s72-c/images.jpg)
LUKUVI AMEMBEZA MPINZANI WAKE KATIKA JIMBO LA ISMANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-XebGRlUrV2Y/ViCL2Ma9aLI/AAAAAAAAAXU/l9RcaBo8Lnw/s640/images.jpg)
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Ismani kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) William Lukuvi Na fredy mgunda,IsmaniMGOMBEA ubunge wa jimbo la Ismani kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) William Lukuvi amembeza mgombea mwenzake anayegombea ubunge kwenye jimbo hilo kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema Patrick Olle Sosopi na kusema kuwa Sosopi hata afanye hawezi kuvaa viatu vyake kwa kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Kauli ya Lukuvi aliitoa juzi wakati akiwahutubia wananchi wa...
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Mbwa ampiga risasi mmiliki wake !
10 years ago
Mtanzania12 May
Kada CCM ampiga katibu wake
NA ELIYA MBONEA, SIMANJIRO
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Kata ya Endiamtu Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Issa Katuga anadaiwa kumpiga ngumi na mateke Katibu wa chama hicho, Salimu Kombo baada ya kumtuhumu kugoma kuidhinisha matumizi ya Sh bilioni moja kwa ajili ya kwenda kulipa madeni.
Tukio hilo linadaiwa kutokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ofisi za CCM za kata hiyo, baada ya Mwenyekiti Katunga kumtuhumu katibu wake kuwa amegoma kuidhinisha fedha...
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
Williamu Lukuvi amembeza mpinzani wake katika jimbo la Ismani
Mgombea ubunge wa jimbo la Ismani kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) William Lukuvi.
Na Fredy Mgunda, Ismani
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Ismani kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) William Lukuvi amembeza mgombea mwenzake anayegombea ubunge kwenye jimbo hilo kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema Patrick Olle Sosopi na kusema kuwa Sosopi hata afanye hawezi kuvaa viatu vyake kwa kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Kauli ya Lukuvi aliitoa juzi wakati akiwahutubia wananchi wa...
11 years ago
GPLBAADA YA KUKIMBIWA NA MPINZANI WAKE KALAPINA ATANGAZA KUZICHAPA NA KASEBA