Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT. MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MAMA MZAZI WA ALBINO ALIYETEKWA NA KUUAWA

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Dkt. John Pombe Magufuli amelaani vikali tukio la kikatili la kutekwa na kuuawa kwa mtoto Yohana Bahati pamoja na kujeruhiwa vibaya kwa mama mzazi wa marehemu na watu wasiofahamika.
Akizungumza kwa masikitiko makubwa jijini Dar es Salaam, Dkt.Magufuli amewataka Watanzania kuishi kwa amani na upendo na kuacha dhana ya kutajirika kutokana na viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino).
“Tukio hili ni la kinyama na halikubaliki popote...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

SIMULIZI: Huzuni, hofu vyatesa familia ya albino aliyetekwa, kuuawa -2

>Shija anasema yeye ni mtoto wa tatu kuzaliwa kwa baba na mama yake, walizaliwa watoto wanane, kati ya hao wanne ni albino, lakini kati ya albino hao wawili wamekufa, hivyo wamebaki wawili.

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal ashiriki kuaga mwili wa mama mzazi wa Dkt. Edward Hosea, Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya marehemu Esther Gigwa, Mama mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. Edward Hosea, wakati alipofika kushiriki kuaga mwili huo nyumbani kwa mkurugenzi huyo, Masaki jijini Dar es Salaam, leo Feb 27, 2015. (Picha na OMR).

2

Wanafamilia wafiwa wakiwa katika shughuli hiyo ya maziko.

3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji,...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MAAGIZO KWA MKANDARASI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Elias Kuandikwa wakishuhudia wakati Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania(TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale na Mwakilishi wa Kampuni ya China  Railway 15 Bureau Group Corporation, Su Jinlan  wakitia saini mkataba wa makubaliano kati ya serikali na Kampuni hiyo ya ujenzi wa barabara ya Nanganga -Ruangwa kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Kilomita 53.2 kwa gaharama ya Sh. Bilioni 59.28....

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KULWA,DOTTO NA NICO MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA LEO KWA MAZISHI.

  Kulia ni Kulwa na kushoto ni Dotto Mwaibale wakiwa na sura za Majonzi wakati wa Ibada fupi ya Kumuombea Mama yao Mpendwa kabla ya kuanza Safari ya kwenda Mbeya Wa kwanza Kulia ni Mdogo wao wa Mwisho wa Akina Mwaibale Ambwene  na wa pili kutoka kulia ni Dada yao Mkubwa wa akina Mwaibale  Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti  Shughuli za Vijana Taifa  Mwili wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mfumumama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale ukiwa unaandaliwa tayari kwa kuombewa,...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATOA MSAADA WA PIKIPIKI KWA MAOFISA TARAFA RUKWA KURAHISISHA UTOELI ELIMU YA CORONA


Maafisa tarafa za Tarafa 12 za mkoa wa Ruk2wa wakiwa kila mmoja amesimama nyuma ya Pikipiki tayari kwa kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kwa niaba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Afisa Tarafa wa Tarafa ya Namanyere Wilayani Nkasi Kasim Ibrahim akitia saini hati ya Makabidhiano mbele ya Mkuu wa mkoa wa Rukwa pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa ili kukabidhiwa Pikipiki aliyoahidiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli. 

Katibu Tawala wa MKoa wa Rukwa Benard Makali akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa...

 

10 years ago

Habarileo

Albino aliyetekwa aumiza kichwa cha RC

Mkuu mpya wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo.MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo amesema leo atakuwa na mkutano utakaompa hali halisi ya utekelezaji wa agizo alilotoa la kutafutwa kwa mtoto wenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) aliyetekwa na watu wasiojulikana katika kijiji cha Ndamiwilayani, Kwimba mkoani hapa.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi  wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020 Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister
Makubi  wakati wa Ibada ya Jumatano ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani