Chadema Arusha wazidi kumong’onyoka
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha kimeendelea kumeguka baada ya jana vigogo wake wanne wakiwemo wenyeviti wawili wa wilaya kutangaza kujiuzulu nyadhifa zao pamoja na uanachama kutokana na ufisadi unaodaiwa kuwepo ndani ya chama hicho ngazi ya taifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema07 Nov
Chadema wazidi kujitanua Mbeya
UCHAGUZI Mkuu umeisha, washindi wamepatikana, kwa Mkoa wa Mbeya ni wazi kwamba Chama cha Demokras
Felix Mwakyembe
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Chadema wazidi kukorogana Mbeya
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Wanawake Arusha wazidi kuishi kwa hofu
WANAWAKE jijini Arusha, wamesema usalama wao uko matatani kutokana na kuongezeka kwa matukio yanayowalenga ya kushambuliwa kwa risasi na watu wanaokuwa kwenye bodaboda, ambako wengine wakijeruhiwa vibaya huku wawili wakifariki...
11 years ago
Mwananchi02 Mar
CCM, Chadema wazidi kutoana jasho Kalenga
9 years ago
Mzalendo Zanzibar01 Oct
CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]
The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
CHADEMA Arusha, DC hataposhi
MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini hapa pamoja na mbunge, Godbless Lema, wamemtaka Mkuu wa Wilaya (DC) ya Arusha, John Mongela, kuacha kuingilia shughuli za utendaji ambazo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ffeB6-HM68M/VXK3LPzaGnI/AAAAAAAAPDE/y4mfWV9AINE/s72-c/11287223_957148714319149_1082941561_n.jpg)
CHADEMA YATIKISA ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ffeB6-HM68M/VXK3LPzaGnI/AAAAAAAAPDE/y4mfWV9AINE/s640/11287223_957148714319149_1082941561_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vXBvKUW6B1A/VXK3N_6krGI/AAAAAAAAPDU/aZrIb2vvaE4/s640/11287426_957148724319148_1226527036_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-VGlSb0QeynQ/VXK5GG5vSkI/AAAAAAAAPD4/9zSfUqYHvaI/s640/11357252_386915751497727_3608413603589319620_o.jpg)
9 years ago
StarTV05 Sep
Chadema ya meguka Arusha.
Baadhi ya vijana waliodai kuwa wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA mkoani Arusha wameandamana na kuchoma moto bendera na kadi za vyama vyao wakidai kumuunga mkono aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA Dokta Wilbroad Slaa aliyetangaza kuachana na siasa.
Wanachama hao wengi wao wakiwa vijana waliokuwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali wamedai kuachana rasmi na vyama vinavyounda ukawa na badala yake wanajiunga na chama cha ACT-Wazalendo.
Baadhi ya wanachama hao akiwemo Hassan...
11 years ago
Habarileo16 Feb
Chadema wasalimu amri Arusha
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka madiwani wa Mkoa wa Arusha kuhudhuria vikao vya madiwani walivyokuwa wamesusia kwa miaka kadhaa.