Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warundi wapewa uraia wa Tanzania

 Serikali imetoa vyeti vya uraia kwa zaidi ya Warundi 160,000 waliokubali kuwa Watanzania baada ya kuishi nchini kwa muda mrefu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wakimbizi 162 wa Burundi wapewa uraia

RAIS Jakaya Kikwete ametoa hati za uraia wa Tanzania kwa wakimbizi 162 kutoka nchi jirani ya Burundi na ambao wameishi nchini kwa miaka 42, tangu mwaka 1972. Alitoa hati hizo juzi mjini Tabora, ikiwa nisehemu ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo.

 

10 years ago

GPL

WARUNDI 152,572 WAHALALISHWA TANZANIA

Mkuu wa Makazi ya Mishamo, Fredrick Nisajile. Waliokuwa wakimbizi wa Burundi zaidi ya 152,572 walioingia nchini mwaka 1972, wamekabidhiwa vyeti vya uraia wa Tanzania. Wakimbizi hao walio omba uraia wa Tanzania mwaka 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, sasa watakuwa raia halali wa Tanzania kwa kuwa na uwezo wa kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi zikiwemo za udiwani na ubunge. ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Warundi 152,572 wawa raia wa Tanzania

Wakimbizi kutoka Burundi wamepewa vyeti vya uraia na kuwa raia halali wa Tanzania

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yawapa uraia wakimbizi

Wakimbizi wa Burundi walioishi Tanzania kwa miongo kadha wamepewa uraia wa nchi hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakimbizi wa Kisomali wapata uraia Tanzania

SERIKALI imewapa uraia wa Tanzania wakimbizi wa Kisomali wenye asili ya Kibantu 1,514 waliokuwa wanaishi Chogo, Wilaya ya Handeni, Tanga. Wakimbizi hao walikimbia nchi yao baada ya vita kutokea mwaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Utata wa uraia wa Miss Tanzania mpya

>Baada ya taji la Miss Tanzania kuvishwa kwa mshindi wa pili, utata mwingine umeibuka baada ya mrithi huyo, Lilian Kamazima kudaiwa kuwa si raia.

 

10 years ago

Mwananchi

Kaseba: Nilikataa kuukana uraia wa Tanzania

Japhet Joseph Kaseba maarufu zaidi kwa jina la Champion sasa amejikita rasmi kwenye ngumi baada ya kukosa upinzani kwenye mchezo wa ngumi na mateke (kick boxing) mchezo uliowahi kumuweka njia panda na kujikuta akitakiwa kuukana uraia wa Tanzania.

 

9 years ago

Bongo5

Mzungu Kichaa aelezea mpango wa kuchukua uraia wa Tanzania

Msanii wa muziki mwenye asili ya Denmark, Mzungu Kichaa amesema ametamani mara kadhaa kutaka kuchuku uraia wa Tanzania lakini ameshindwa kufanya hivyo kutokana na aina ya uraia unaotolewa hapa nchini. Muimbaji huyo aliyezaliwa nchini Denmark na kukulia Tanzania alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa katika kazi yake ya sanaa anapenda kuwakilisha Tanzania kwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani