Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WARUNDI 152,572 WAHALALISHWA TANZANIA

Mkuu wa Makazi ya Mishamo, Fredrick Nisajile. Waliokuwa wakimbizi wa Burundi zaidi ya 152,572 walioingia nchini mwaka 1972, wamekabidhiwa vyeti vya uraia wa Tanzania. Wakimbizi hao walio omba uraia wa Tanzania mwaka 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, sasa watakuwa raia halali wa Tanzania kwa kuwa na uwezo wa kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi zikiwemo za udiwani na ubunge. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Warundi 152,572 wahalalishwa TZ

Waliokuwa wakimbizi wa Burundi zaidi ya 152,572 walioingia nchini mwaka 1972, wamekabidhiwa vyeti vya uraia wa Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Warundi 152,572 wawa raia wa Tanzania

Wakimbizi kutoka Burundi wamepewa vyeti vya uraia na kuwa raia halali wa Tanzania

 

10 years ago

Vijimambo

UGAWAJI WA VYETI VYA URAIA KWA WATANZANIA WAPYA 152,572 WAFIKIA UKINGONI

Afisa Uhakiki, Neema Chilipweli (kushoto) akiihakiki familia ya Yohanna Bukuru (watatu kulia), pamoja na mkewe na watoto wao sita kutoka Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda Vijijini, Mkoa wa Katavi, ikiwa ni hatua ya awali ya uhakiki ili familia hiyo iweze kupewa vyeti vya uraia wa Tanzania. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Warundi wapewa uraia wa Tanzania

 Serikali imetoa vyeti vya uraia kwa zaidi ya Warundi 160,000 waliokubali kuwa Watanzania baada ya kuishi nchini kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Mtanzania

152 mbaroni kwa kujiandikisha mara mbili BVR

NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limewatia mbaroni watu 152 wa Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa elektroniki (BVR).
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi wa NEC, Dk. Sisti Cariah, alisema watuhumiwa hao walinaswa kupitia vifaa maalumu na watashtakiwa kwa kosa la jinai ili iwe fundisho kwa wengine.
Alisema mfumo mpya wa BVR...

 

11 years ago

GPL

Simba SC yasajili Warundi wawili

Mshambuliaji mwenye kasi, Amissi Cedric. Na Sweetbert Lukonge
KAZI ya usajili imeanza na Simba wanaonekana kuwa na kasi kubwa baada ya kuanza mazungumzo na wachezaji wawili wanaokipiga kwenye timu ya taifa ya Burundi na mambo yanakwenda vizuri.
Simba iko katika hatua za mwisho kuwatia mkononi Warundi wawili baada ya kuwaona wakifanya vema katika mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars iliyochezwa juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Warundi wadakwa na meno 25 ya tembo

Polisi mkoani Katavi wanawashikilia watu wawili raia wa Burundi kwa tuhuma za kuwakuta na meno ya tembo 25 yakiwa na uzito wa kilo 42 yenye thamani ya Sh148 milioni.

 

10 years ago

Habarileo

Warundi waacha njaa kijijini Kagunga

MWEZI mmoja baada ya wakimbizi wa Burundi kuanza kuingia nchini wakikimbia machafuko nchini mwao, athari za ujio wao zimeanza kuonekana kutokana na kijiji cha Kagunga wilaya ya Kigoma, mwambao wa Kaskazini wa Ziwa Tanganyika, kukumbwa na njaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Warundi 10,000 wakimbia nchi wikendi

UNHCR inasema raia wengi walihofia usalama wao wakati wa uchaguzi wa ubunge uliofanyika hapo Jumatatu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani