Warundi waacha njaa kijijini Kagunga
MWEZI mmoja baada ya wakimbizi wa Burundi kuanza kuingia nchini wakikimbia machafuko nchini mwao, athari za ujio wao zimeanza kuonekana kutokana na kijiji cha Kagunga wilaya ya Kigoma, mwambao wa Kaskazini wa Ziwa Tanganyika, kukumbwa na njaa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Soko la Kagunga Kigoma kunufaisha maziwa makuu
11 years ago
GPLSimba SC yasajili Warundi wawili
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Warundi wapewa uraia wa Tanzania
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Warundi 152,572 wahalalishwa TZ
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Warundi wadakwa na meno 25 ya tembo
10 years ago
BBCSwahili30 Jun
Warundi 10,000 wakimbia nchi wikendi
9 years ago
Habarileo19 Oct
Warundi wanaosaka hifadhi wazidi kuongezeka
IDADI ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi imetajwa kuwa inazidi kuongezeka siku hadi siku. Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga imesema hadi Oktoba 17 mwaka huu, idadi imefikia 107,112.
10 years ago
GPLWARUNDI 152,572 WAHALALISHWA TANZANIA
10 years ago
Habarileo25 Nov
Warundi kortini kwa meno 18 ya tembo
RAIA watatu wa Burundi akiwemo mwanamke wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi wa Wilaya ya Morogoro, wakikabiliwa na mashitaka matatu ya kuhujumu uchumi baada ya kukamatwa na meno ya tembo 18, na mikia mitano ya twiga, vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni 357.