Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Beki wa Blackburn Rovers atua Yanga

Yanga imempokea beki mkongwe wa Afrika Kusini, Aaron Mokoena tayari kufanya majaribio ya kusaka nafasi ya kujiunga na mabingwa wapya Ligi Kuu Bara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Lambert kocha mpya Blackburn Rovers

Paul Lambert Kocha wa zamani wa Aston Villa amekuwa kocha mpya wa klabu ya Blackburn Rovers badala ya Gary Bowyer.

 

9 years ago

Bongo5

Paul Lambert ateuliwa kocha mpya Blackburn Rovers

paul-lambert_a_2654666b

Aliyekuwa kocha wa zamani wa Aston Villa Paul Lambert ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Blackburn Rovers baada ya Gary Bowyer kufutwa kazi.

paul-lambert_a_2654666b

Lambert mwenye umri wa miaka 46 alifukuzwa na klabu hiyo ya Aston Villa mwezi Februari ambapo anasema kuwa kwa kipindi kifupi ambacho amekuwa nje ya timu hiyo anajiona aliyeimarika zaidi na kwamba kwa sasa anaangalia mbele.

Bowyer alitimuliwa kutokana na kufanya vibaya kwa klabu hiyo. Kati ya mechi 10 za ligi walizocheza alishinda mbili tu na...

 

11 years ago

GPL

Beki avunja mkataba, atua Yanga

Na Martha Mboma
BEKI wa Coastal Union, Abdi Banda, amefunguka  na kusema yupo katika hatua nzuri ya kuweza kumalizana na Yanga, huku akiwa anavunja mkataba wake. Beki wa Coastal Union, Abdi Banda. Kabla ya msimu uliopita Yanga ilikuwa ikimhitaji beki huyo ambaye alipandishwa kutoka timu ya vijana ya Coastal…

 

10 years ago

GPL

AMISSI TAMBWE ATUA YANGA, SIMBA YAMNASA BEKI HASSAN KESSY

Amissi Tambwe. Mshambuliaji raia wa Burundi, Amissi Tambwe amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu ya Yanga SC baada ya kutemwa na timu yake ya zamani Simba SC. Tambwe ndiye mfungaji bora wa msimu uliopita Ligi Kuu Bara baada ya kutupia mabao 19. Kessy (katikati )akisaini mkataba wa miezi 18 kuichezea Simba SC jana. Kulia ni Geofrey Nyange 'Kaburu' na kushoto ni msimamizi wa Kessy, Athuman Tippo. Wakati Tambwe… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Beki Simba atua African Lyon

KLABU ya African Lyon ya jijini Dar es Salaam, ambayo inashiriki Ligi Daraja la Kwanza Taifa (FDL), imemsajili beki wa Simba, Hassan Isihaka kwa mkataba wa miaka mitatu wenye thamani...

 

10 years ago

Habarileo

Yanga yasajili beki wa Togo

YANGA imemsajili beki wa kati Vincent Baossou kutoka Togo kuziba nafasi ya Joseph Zuttah wa Ghana aliyetupiwa virago.

 

10 years ago

Mwananchi

Beki tatizo Yanga, Azam

Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Afrika mwakani, Azam na Yanga walishindwa kutambiana juzi kwa kutoka sare 2-2, lakini mengi yalijiweka bayana katika mchezo huolicha ya matokeo hayo yapo mambo mengi yaliyojitokeza.

 

11 years ago

GPL

Tambwe: Yanga hakuna beki wa kunizuia

Amissi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge
IKIWA imesalia wiki moja kabla ya kukutana uso kwa uso na Yanga, straika wa Simba, Amissi Tambwe ametamba kuwa lazima afunge bao katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Championi Ijumaa, Tambwe anayeongoza kwa mabao katika ligi hiyo akiwa amecheka na nyavu mara 19, alisema jeuri hiyo anaipata kwa sababu ukuta wa...

 

11 years ago

GPL

Beki Yanga atimkia Afrika Kusini

Beki wa kati wa Yanga mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir. Na Wilbert Molandi
PIGO jingine Yanga! Hivyo ndivyo utakavyoweza kutamka kwa beki wa kati mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir kuitwa kwenye majaribio ya kucheza soka la kulipwa kwenye Klabu ya Bloemfontein Celtic inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini ‘Sauz’.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani