Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yasajili Mbrazili wa pili, Geilson Santos Santana ‘Jaja’

Mshamabuliaji Geilson Santos Santana “Jaja” raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miaka miwili (2014-2016) kuitumikia timu ya Young Africans. Jaja akipokea nakala ya mkataba wake kutoka kwa Katibu Mkuu wa Young Africans Bw Beno Njovu Katibu mkuu wa Young Africans Beno Njovu amesema usajli wa Jaja unakua ni wa pili msimu huu kwa wachezaji […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Mbrazili mpya atua Yanga SC

Mshambuliaji mpya wa Yanga,Genilson Santana Santos ‘Jaja’ Na Mwandishi Wetu
SASA Yanga imekamilika, kwa kuwa yule mshambuliaji raia wa Brazil, anatua nchini kati ya kesho au keshokutwa.Genilson Santana Santos ‘Jaja’, anatarajia kutua nchini akiongozana na wakala wake ili kumalizana na wakongwe hao wa soka nchini. Jaja ambaye anasifika kwa mashuti, pasi zinazozaa mabao, amefunga zaidi ya mabao 10 akiwa...

 

11 years ago

GPL

MBRAZILI WA YANGA ATUA NA MKOSI DAR

Coutinho akiwa katika pozi. Na Richard Bukos
KIUNGO mshambuliaji wa Kibrazili, Andrey Coutinho, aliyetua jana (Ijumaa), kutoka nchini humo kuja kukipiga kwenye timu ya Yanga, jana alitua na mkosi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, baada ya gari lililoenda kumchukua kufungwa nyororo na wasimamizi wa maegesho ya magari uwanjani hapo. Katika sakata hilo mchezaji huyo baada ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbrazili wa Yanga apewa onyo kali

Kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime amempa tahadhari kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili Emerson De Oliveira Neves Roque kuwa atarajie kukutana na wakati mgumu kwenye Ligi Kuu kama ilivyotokea kwa Mbrazili mwenzake, Genilson Santos ‘Jaja’ aliyegoma kuendelea kuichezea timu hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Yanga yasajili beki wa Togo

YANGA imemsajili beki wa kati Vincent Baossou kutoka Togo kuziba nafasi ya Joseph Zuttah wa Ghana aliyetupiwa virago.

 

11 years ago

GPL

Yanga yasajili kiungo usiku

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
KLABU ya Yanga, jana usiku ilitarajiwa kumsainisha kiungo wa Taifa Stars, Said Juma.
Inadaiwa kuwa, aliyekuwa kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ndiye aliyetoa mapendekezo ya kusajiliwa kwa kiungo huyo. Jana usiku, Yanga ilitarajiwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili lakini kama ingeshindikana jana, basi anaweza akasajiliwa ndani ya siku mbili...

 

9 years ago

Global Publishers

Yanga yasajili kiboko ya Niyonzima

issoufou-boubacar2Mshambuliaji, Issofou Boubacar.

Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofikia tamati Desemba 15, mwaka huu, Yanga imesajili wachezaji wawili tu, straika Paul Nonga na kiungo mshambuliaji, Issofou Boubacar ili kujiimarisha.

NIYONZIMANEW4Haruna Niyonzima.

Lakini jana Ijumaa asubuhi katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Yanga ilianza kumfanyia majaribio kiungo Sina Jerome aliyetokea Rayon Sports ya Rwanda.
Yanga inafanya hivyo ili kujiridhisha kuhusu uwezo wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaja aipaisha Yanga

Mshambuliaji wa Genilson Santos ‘Jaja’ ameanza kwa kishindo kibarua chake Yanga kwa kufunga bao pekee wakiichapa Chipukizi 1-0  kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota Yanga wamlilia Jaja

Wachezaji wa Yanga wamepokea kwa mshtuko taarifa ya kuondoka kwa mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaja amwaga wino Yanga

HATIMAYE Klabu ya Yanga, jana ilimsainisha mkataba wa miaka miwili Mbrazil Geilson Santos Santana ‘Jaja’, wa kukipiga katika kikosi cha timu hiyo kuanzia msimu ujao. Jaja, anakuwa nyota wa pili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani